google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,868
watu wametoka mbali mzee
watu wametoka mbali mzee
jay ambe na jay jararam zilikuwa daladala, pia kulikuwa na lastboy zilikuwa na tv, mayeji 4, ctk transMwanza pia nakumbuka,Tanganyika,manko bus,Jay Ambe,Jay jararam,Air bus,mashiku bus,zuberi,n.k
Tembo mtotoEnzi hizo kwa sisi washambaa ilikuwa ni kawaida kupanda Simba mtoto, Satellite, Zamoyoni, Zafanana, Shengena; Dah! ila tumetoka mbali!
kutu tupuuNi kweli enzi na enzi kwenye mabasi chakavu
Safina je?sun shine?mafegi??1. KWACHA nimekumbuka warrant kwenda shule
2. Mwafrika nimekumbuka safari yangu ya kwanza kusafiri peke yangu
3. Railway nimekumbuka safari ya kishule toka Iringa kwenda Mazengo Dodoma
4. Kamata nimesafiri nayo sana toka Songea kwenda Dar
5. Binkleb Bus Service (BBS), Safari zangu za Songea Dar
6. Kiswele Songea Dar na wakiingia SOngea ile mihoni ya kushindana kati ya Kiswele na Zainabs
7. Scandinavia SOngea Dar, Dar Mbeya
8. Tawaqal Safari za Songea Dar, Iringa
9. Special Coach... Safari za Songea Dar
10. Ruvuma Line hata hakudumu wallah... alilipeleka basi kwa PARADISO kutambika lakini wapiii
Saf
1. KWACHA nimekumbuka warrant kwenda shule

Safina je?sun shine?mafegi??
We jamaa umewahi kuishi mwanza yaan unaifahamu mayeji 4jay ambe na jay jararam zilikuwa daladala, pia kulikuwa na lastboy zilikuwa na tv, mayeji 4, ctk trans
Hapa kwenye AMTICO umenikumbusha mbali sana enzi za
NDEGE MNANA
ZAFANANA
MARAHA
KIDATO
SIMBA MTOTO
Mh! Tv? Unaongelea miaka ya 90+!jay ambe na jay jararam zilikuwa daladala, pia kulikuwa na lastboy zilikuwa na tv, mayeji 4, ctk trans
UBUNGO-KARIAKOO halafu inapita msituni! Inamaana ni miaka ya 60na ama 70+
UBUNGO-KARIAKOO halafu inapita msituni! Inamaana ni miaka ya 60na ama 70+
Shida huyu huyu mwanae aliyegonga gari la RC wa Mara??Umenikumbusha madereva wa Songea Dar enzi hixo Tawaqal unamkuta Giriki, Kiswele unawakuta Yogi, Okalla na Rwambo, Zainabs unamkuta Shida na Special coach unamkuta John Africa na Mapunda......dah ilikuwa ni moto chini!