kifusi boy
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 1,141
- 1,752
Hata hii route pia si rahisi kutokea kwasababuMbezi to Sinza jamani kuna ulazima gani wa kupanda gari mbili? Kwann gari zisiunge tu nowadays barabara ya mawasiliano kutokea Sinza Madukani ni lami ya kiwango tu kwanini kusiwepo na route ya Mbezi to sinza via Mawasiliano road!??
Sinza ni transit station, yaan kuifikia Sinza unaweza ukawa ndani ya daladala nyingi though sio zote zinapitia Sinza yote
Uwepo wa route ya Mbezi-Makumbusho ( kupitia Simu2000) na Simu2000-Masaki umepelekea ugumu wa kua na route hiyo kwenda Sinza
Ukiwa unasema transit station ni zile sehem ambazo hazina vituo vikuu vya daladala, yaan vituo vyake viko within a route za daladala zingine mfano
Kimara, Mwenge, Sinza, Ubungo, Buguruni, Magomeni, Mwananyamala, Ukonga, Msasani
Ukiangalia hapo juu kulikua na routes za daladala kwenye baadhi ya maeneno tajwa hapo juu lakini kwa sasa hazipo, kwanini.. kwasababu hiyo ya transit station
Soon route ya Mtongani itakufa
