PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 9,072
- 29,804
Kule Kwenye jukwaa la Jf garage sikuhizi wamejaa watoto wengi mno na maswali Yao ya kitoto kama ya huyo jamaa mtoa madaMada za kitoto hizi
Kule Kwenye jukwaa la Jf garage sikuhizi wamejaa watoto wengi mno na maswali Yao ya kitoto kama ya huyo jamaa mtoa madaMada za kitoto hizi
Nakuja unifungie kwenye gari langu aiseeMimi hapa
kulikiwa na Jamaa Enzi hizo anaitwa Shukuru pale Magomeni alikuwa balaa. Hawa sijui kina Dick Sound hamna lolote zaidi ya Mbwembwe na Mikogo tuu.
Alex ni branchier wa pioneer yule achana naeKwa Tanzania nzima Eastside sound wa Arusha anawafunika wote
Dick sound ni overrated afu Kama wewe sio celebrity au kiongoz Jamaa Ana customer care mbaya balaa plus bei za kifalafala
Mada za kitoto hizi
Kwa Tanzania nzima Eastside sound wa Arusha anawafunika wote
Mkuu ili muziki uwe mkubwa na mzuri unaunganishwa na viti vingi
1 aina ya redio inayotoa mziki
2 crossover ipoje
3 equalizer nzuri
4 busta inauwezo
5 speaker nayo je(pamoja na box yake)
6 umeme nao uko sawa
Kwapamoja unafanye setup kari sana ya muziki
Hawa wote mnao waongelea Wanachez Na equalizer tu
Ila mziki unaunganisha vitu vingi
Huna lolote sema unataka maoni ya wadau humu ili ujue ni nani anayefunga mziki mzuri ili akufungie halafu ukawanyime raha mitaani.