Moto wa ajabu, viumbe wa ajabu, ajali ya kushangaza..!

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,741
699,347
Ni ajali iliyotokea mwanzoni mwa wiki hii nyuma ya hospital ya rufaa ya Tumbi njia ya kwenda Boko Mlemela...!!!

Nyumba husika iliyoteketea na kila kitu ndani ilikuwa kwenye hatua za mwisho kumalizia kufungwa vifaa vya studio ya kisasa na pengine ya kwanza mkoani Pwani kwa jina la Pwani House of Talents (PHT) mmiliki wake akijulikana kama Phillip Wangwe AKA Wise

Tukio hili ni la jana mchana ambapo moto ulianzia darini wakati kijana mmoja akiwa kajipumzisha chumba cha kupumzikia na mwingine akiwa katoka kwenda kununua maji maeneo hayo hayo

Huyu wa maji aliporejea alikuta nyumba imejaa moshi huku yule aliyepumzika akiwa kapatiwa na usingizi.

Kama angechelewa kurudi kidogo tu.

Mwenzake angefia ndani ama kupata majeraha makubwa.

Basi alimkurupusha wakatoka nje na kuomba msaada kwa majirani.

Mpaka msaada unapatikana moto ulikuwa umeshakolea na hakuna kilichosalimika.

Kitu kilichoacha maswali bila majibu ni

Moto ulikolea haraka mno kama umemwagiwa petrol

Mabaki ya viumbe wawili wa ajabu wanaofanana na binadamu mikono masikio na meno.

Je, hawa viumbe walikuwa darini kulikoanzia moto?

Je, ni vinyamkera ama misukule?

Tunaendelea na uchunguzi baadae tutakuwa eneo la tukio pamoja na polisi. Nitawajuzeni zaidi.

Aliye Karibu anaweza kufika pia, mizoga bado ipo eneo la tukio

IMG-20190807-WA0112.jpeg
IMG-20190807-WA0111.jpeg
IMG-20190808-WA0004.jpeg
IMG-20190808-WA0002.jpeg
 
Ni ajali iliyotokea mwanzoni mwa wiki hii nyuma ya hospital ya rufaa ya Tumbi njia ya kwenda Boko Mlemela...!!!
Nyumba husika iliyoteketea na kila kitu ndani ilikuwa kwenye hatua za mwisho kumalizia kufungwa vifaa vya studio ya kisasa na pengine ya kwanza mkoani Pwani kwa jina la Pwani House of Talents (PHT) mmiliki wake akijulikana kama Phillip Wangwe AKA Wise
Tukio hili ni la jana mchana ambapo moto ulianzia darini wakati kijana mmoja akiwa kajipumzisha chumba cha kupumzikia na mwingine akiwa katoka kwenda kununua maji maeneo hayo hayo
Huyu wa maji aliporejea alikuta nyumba imejaa moshi huku yule aliyepumzika akiwa kapatiwa na usingizi... Kama angechelewa kurudi kidogo tu... Mwenzake angefia ndani ama kupata majeraha makubwa...
Basi alimkurupusha wakatoka nje na kuomba msaada kwa majirani... Mpaka msaada unapatikana moto ulikuwa umeshakolea na hakuna kilichosalimika...

Kitu kilichoacha maswali bila majibu ni
. Moto ulikolea haraka mno
. Viumbe wawili wa ajabu wanaofanana na binadamu mikono masikio na meno...
Je hawa viumbe walikuwa darini kulikoanzia moto?
Je ni vinyamkera ama misukule?
Tunaendelea na uchunguzi.. Baadae tutakuwa eneo la tukio pamoja na polisi... Nitawajuzeni zaidi... Aliye Karibu anaweza kufika pia.... Mizoga bado ipo eneo la tukio View attachment 1175199View attachment 1175201View attachment 1175202View attachment 1175204
wee mzee unazeeka vibaya siku hizi. hao si panya hao...!!!
 
Hii dunia INA mamb mengi sema tu atuyafaham
Ni ajali iliyotokea mwanzoni mwa wiki hii nyuma ya hospital ya rufaa ya Tumbi njia ya kwenda Boko Mlemela...!!!
Nyumba husika iliyoteketea na kila kitu ndani ilikuwa kwenye hatua za mwisho kumalizia kufungwa vifaa vya studio ya kisasa na pengine ya kwanza mkoani Pwani kwa jina la Pwani House of Talents (PHT) mmiliki wake akijulikana kama Phillip Wangwe AKA Wise
Tukio hili ni la jana mchana ambapo moto ulianzia darini wakati kijana mmoja akiwa kajipumzisha chumba cha kupumzikia na mwingine akiwa katoka kwenda kununua maji maeneo hayo hayo
Huyu wa maji aliporejea alikuta nyumba imejaa moshi huku yule aliyepumzika akiwa kapatiwa na usingizi... Kama angechelewa kurudi kidogo tu... Mwenzake angefia ndani ama kupata majeraha makubwa...
Basi alimkurupusha wakatoka nje na kuomba msaada kwa majirani... Mpaka msaada unapatikana moto ulikuwa umeshakolea na hakuna kilichosalimika...
Kitu kilichoacha maswali bila majibu ni
. Moto ulikolea haraka mno kama umemwagiwa petrol
. Mabaki ya viumbe wawili wa ajabu wanaofanana na binadamu mikono masikio na meno...

Back
Top Bottom