Tahadhari: Wakazi wa Dar jihadharini na matapeli hawa

Jodeo

JF-Expert Member
Mar 10, 2015
1,286
1,326
Watu mliopo dar, maeneo ya mbezi mwisho hadi goba na Dar yote kwa ujumla, mjihadhari na watu hawa wenye hizi namba,

0769975059
0654508349
0673188233
0658029994
0653583296

Hawa watu ni matapeli na wezi wakubwa.

Hawa jamaa wanatumia gari aina ya brevis namba T 188 DHR.

Sina mengi ila Wahusika (Jeshi la Polisi) fanyieni kazi jambo hilo. Hii ni habari ya kweli, mkiwapata hususani hilo gari. Kuna mwingine Aliwatumia hadi mlioni nne. Orodha ni ndefu.
 
Mkuu asante kwa tahadhari ingawa hujaeleza wanatapeli au kuiba kwa style gani maana njia zipo nyingi
 
Asante kwa tahadhari, na uzi ubaki hivyo hivyo usiseme ni kwa njia gani wanatapeli hii itaongeza umakini,

Cha msingi ni kujua kama kuna matapeli, usikalili namba, mbezi wala usikalili njia,

Maana hii mijitu inabadili njia kila kukicha, kwaio kwa wale wanaokalili watakalili mpk hizo namba, mbezi na njia, tapeli akija kivingne ashaenda na maji, mm naona hii itaongeza umakiini,

KITU CHOCHOTE KINACHOHUSU PESA/MALI USIZAME MFUKONI KIRAHISI RAHISI WALA KUELEWA KAMA USIKIAVYO, FUNGUA MASIKIO NA UBONGO WA TATU.

huo ni mtazamo wangu, japo wengne watahitaji uwaambie njia, wakitaka hivyo kwa kua ni mtazamo wao pia waweza wasaidiaa wasijekulaumu.

Pole sana...
 
Kaka mimi mwenyewe nimepigwa, hapa nahisi mwili unawaka moto. Acha nipumzike tu. Ni malezo marefu nisiyoweza kueleza kwa kuandika hapa
Yani umepigwaje??ni muhimu kujua...
ili tusijeingia huo mkenge....
All in all pole...
Ila polisi hawawezi kuanzisha shtaka kabla hawajapata malalamiko kutoka kwa mlalamikaji......
ni vizuri ungeripoti ili wao wafanyie kazi hilo swala...
 
Kaka mimi mwenyewe nimepigwa, hapa nahisi mwili unawaka moto. Acha nipumzike tu. Ni malezo marefu nisiyoweza kueleza kwa kuandika hapa
Kwanza pole sana na umefanya vizuri sana kutoa tahadhari kwani baadhi ya watu wakitapeliwa hukaa kimya ili watu wengine nao watapeliwe. Ila nakushauri ni vizuri uripoti polisi. Japo wengine husema ni kupoteza muda lakini jaribu tu. Na pili ungejaribu kuelezea hata kwa kifupi namna wanavyotapeli kwani huenda wana namba nyingi na watu kama hawajui njia wanayotumia siyo rahisi kijihadhari.
 
nilidhani wanakaba kwa silaha kumbe umewapelekea wewe ni KOLO
 
Watu mliopo dar, maeneo ya mbezi mwisho hadi goba na Dar yote kwa ujumla, mjihadhari na watu hawa wenye hizi namba,

0769975059
0654508349
0673188233
0658029994
0653583296


Hawa watu ni matapeli na wezi wakubwa.

Hawa jamaa wanatumia gari aina ya brevis namba T 188 DHR.

Sina mengi ila Wahusika (jeshi la polisi) fanyieni kazi jambo hilo. Hii ni habari ya kweli, mkiwapata hususani hilo gari. Kuna mwingine Aliwatumia hadi mlioni nne. Orodha ni ndefu.
Nadhani kama unataka kuwasaidia watu ungeongeza nyama kidogo ili na wengine tunufaike. Ni mtazamo tu
 
Acha apigwe, ndio akomae, yaani humjui mtu anakupigia au anakuja na gari anakutapeli hivi hivi, sbb yote ni kutaka hela za haraka haraka..

Nishakaa sawa, nitaedit post yangu. Mnaweza kusema yote mnayoweza kwa kuwa hamjui ukweli
 
Mkuu elezea ilikuwaje mpaka ukatapeliwa, na ni njia zipi wanatumia ili na wengine wawe attention yasiwakute.... Waokoe na wengine tafaadhali.
 
Ukisikia mjini shule, mjini mipango ndiyo hiyo. Kuishi Dar ni degree tosha. Hongereni mnaoishi kwenye hilo jiji.

Pole sana mtoa mada. Vipi hao matapeli walikudanganya kukuuzia gari au kiwanja kwa bei chee? Mwenzako yule mama alifanikiwa kuziokoa zile milioni 10 zake pale alipokaribia kabisa kutapeliwa na hao wazee wa kazi.
 
Back
Top Bottom