Recent content by kingukitano

  1. K

    JamiiForums Tanzania Julius Nyerere: Serikali ya kifisadi haikusanyi kodi

    Wewe kizungu hukijui? Nyerere alisema Corrupt sio Collapsed
  2. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwakyembe anaweza kushinda kesi dhidi ya Mwanyamaki

    Mahakama zinakuaje Chini yake wakati ni muhimili tofauti? Mbona unatumia mafua kufikiri
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tundu A. Lisu kupoteza Jimbo mwaka huu 2015

    Tundu lissu hakuna namna anashinda subirini mtaamini maneno yangu havuki
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    G Sam Ninakuambia hapa Lowasa Rais utaniambia leo
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    Duu jamaa kwani wamemkata?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    Mwalimu Julius Nasikia Magufuli amempeleka mdogo wake nje kuficha ushahidi aisee kazi kubwa jamani
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kama CCM inataka kushinda uchaguzi kabla ya kupiga kura, Magufuli ndiyo mtu sahihi

    Lizaboni Yannachokisema ni uhuni tuu mmekalia kanuni kanuni zama hizi muache ushenzi huu wakushilia mambo ambayo hayanatija kanuni za chama zimesaidia nini mbona mabilioni yanaibwa kutwa acha ujinga
  8. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa anaumwa Parkinson's disease, urais atauwezaje?

    Sasa wewe bitch unayesaga na kujiuza nje ya nchi huna maadili kusema afya ya Lowassa ur the disgrace kwa nchi
  9. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa atua Mwanza kusaka wadhamini, umati wampokea

    Alimaanisha wahisani
  10. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa atua Mwanza kusaka wadhamini, umati wampokea

    Anamvuto na msimamooo apeweee
  11. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa atua Mwanza kusaka wadhamini, umati wampokea

    Huyu Laigwanani wampe tuu anakubalika sana jamani
  12. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa anakusudia kujitoa mbio za Urais

    Hakuna Mwanasiasa wakumfikia Edward Lowassa kwa sasa ni ustaarabu wa kihayawani kumsingizia ananunua watu ameahirisha kutangaza nia zaidi ya mara tatu lakini siku ametangaza amejaza watu karibia elfu sitini acheni unyokonyoko huyu jamaa ana shauku na uwezo apewe dola
  13. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa anakusudia kujitoa mbio za Urais

    Mods wa JF mmekua watu wa hovyo sana na mnashusha heshima ya JF huyu mpuuzi aliwahusisha mkapa na mwinyi na karume kuwa wapo Butiama juzi wakati Makongoro anatangaza nia jambo ambalo ni uongo mkubwa kwa wasomaji mmekaa kimya poor moderators soon jukwaa lenu halitatofautiana na Magazeti ya shigongo
Back
Top Bottom