Kama CCM inataka kushinda uchaguzi kabla ya kupiga kura, Magufuli ndiyo mtu sahihi

Kwa kweli magufuli wakati barabara leo zinaanza kutumika nyingi kesho mbovu agghhh

Labda ajitangaze kuvutia na mengine maana anabania pesa za kuniwezesha nisafiri vizuri barabarani, na D11 ndio mjuto

kamwambie pinda aliye ruhusu magari yenye uzito mkubwa kuaribu barabara zetu,
 
mkuu yaani baada ya taarifa kufika huku vijijini kuwa MAGUFULI kachukua form kumezizima watu wanasema huyu ndo mtu pekee tuliyekuwa tunamuitaji,ukitaka kuamini hilo piga simu kokote upate data zako mwenyewe,hachana na watumwa wa kambi furani zinazomchafua wapigakura tunajua cha kufanya wakimpitisha.
 
1, Rais tunaemtaka watanzania na roho ya watanzania
2, Roho ya ccm kwa sasa na wanaccm wote,
3, rais anaeweza kuwavusha wabunge wa ccm,na kuwanadi kwenye majukwa ya siasa.
rais mchapa kazi aina ya viongozi wa china,hauelezi kitu kwa huyu jamaa.
 
Lizaboni

Barabara zote chini ya kiwango na ushahidi upo hadharani!HAFAI SI KWA KIANGAZI WALA MASIKA!UKIJUMLISHA NA NYUMBA ZETU ZA OYSTERBAY NA MASAKI ALIZOUZA KWA 30,000,000/= JAMAA HAFAI NI MCHAFU....
 
Last edited by a moderator:
Suala c mtu bali chama kimechafuka! Kama kunamccm hajashiliki kuchakachua katiba mtaje! Na yupi kakemea ufisadi mtaje!
 
NYUMBA ZA SERIKALI ZILIGAWANYWA kwa mahawara na ndugu hili unalisemeaje
Akiwa rais atagawa kila kitu kwa mahawara???

MAKONGORO NDIYE MGOMBEA ASIYE NA KASHFA

Magufulii ameitia hasara sana Serikali,hafai
 
Barabara zote chini ya kiwango na ushahidi upo hadharani!HAFAI SI KWA KIANGAZI WALA MASIKA!UKIJUMLISHA NA NYUMBA ZETU ZA OYSTERBAY NA MASAKI ALIZOUZA KWA 30,000,000/= JAMAA HAFAI NI MCHAFU....



1,Ubovu wa barabara muulize pinda aliporuhusu magari ya mizigo mikubwa kupita pasipo kujali viwango vyake.
2, sisi tunawaza kumsaidia masikini aliyeko rukwa na kigoma wewe unatuletea habari za nyumba za MABEPARI OYSTERBAY zilikuwa zinatusaidiaje masikini sisi tulioka vjijini hatujui pa kuuza mazao yetu wala nammna ya kifika masokoni
3, suara la nyumba kawaulize wabunge walioshidwa kutenga fedha kwa ajili ya ukarabati wa nyumba hizo.
4, juzi summaye ametoa jibu juu ya kuuzwa kwa nyumba zaserikali ulikuwa wapi?

mwisho fanya tafiti ndogo tu ujue baada ja habari kufika kote nchi zima kuwa MAGUFULI kachukua form kilichojili.utaangaika sana na walikuajili kama mtumwa wao jf.
 
1,Ubovu wa barabara muulize pinda aliporuhusu magari ya mizigo mikubwa kupita pasipo kujali viwango vyake.
2, sisi tunawaza kumsaidia masikini aliyeko rukwa na kigoma wewe unatuletea habari za nyumba za MABEPARI OYSTERBAY zilikuwa zinatusaidiaje masikini sisi tulioka vjijini hatujui pa kuuza mazao yetu wala nammna ya kifika masokoni
3, suara la nyumba kawaulize wabunge walioshidwa kutenga fedha kwa ajili ya ukarabati wa nyumba hizo.
4, juzi summaye ametoa jibu juu ya kuuzwa kwa nyumba zaserikali ulikuwa wapi?

mwisho fanya tafiti ndogo tu ujue baada ja habari kufika kote nchi zima kuwa MAGUFULI kachukua form kilichojili.utaangaika sana na walikuajili kama mtumwa wao jf.

Jama magufuli aligawa nyumba za serikali kwa mahawara zake,Akiwa rais si atagawa nchi kwa michepuko yake?
 
Lizaboni

Yannachokisema ni uhuni tuu mmekalia kanuni kanuni zama hizi muache ushenzi huu wakushilia mambo ambayo hayanatija kanuni za chama zimesaidia nini mbona mabilioni yanaibwa kutwa acha ujinga
 
Last edited by a moderator:
Mjini na vijijini kumekucha baada ya MAGUFULI kuchukua form wale wanaotumiwa na kambi zao kumchafua wasipoteze muda waende mitaani wapate habari baada ya kujulikana kuwa kachukua form.
 
Jama magufuli aligawa nyumba za serikali kwa mahawara zake,Akiwa rais si atagawa nchi kwa michepuko yake?


Mkuu sisi ni mamoja humu lkn wapo mamilion nje ya humu sijui utawambia nini wakuelewe juu ya huyu jamaa,na wenye akili zao wanajua manavyomchafua mkitokea kambi furani,wazee wa mademu wanafaamika sio magufuli,unapoteza muda nenda kapate posho yako.
 
Mkuu Lizaboni, heshima mbele!

Kumbe akili na uwezo wa kupambanua unao....sasa inakuwaje huwa unajitoaga fahamu....au unatumia cha arusha nini?Joke

NAKUUNGA MKONO mkuu!

Kikweli, hata ambaye ni mpinzani wa CCM, anamkubali magufuli maaana jamaa ni mtendaji wa ukweli na wala CCM haitapata shida yeyote kumnadi huyu bwana Magufuli endapo atachaguliwa kugombea uraisi kwa tiketi ya ccm!

Na kama ana mapungueu yeyote, basi ni yakibinadamu kama tulivyo binadamu wote!

Swala la kuuza nyumba, hakika siwezi kumlaumu Magufuli kwani ilitokea tu zilikuwa chini ya wizara yake....lakini maamuzi yalikuwa ya Ben (kama alivyofafanua Sumaye kwa kina kuwa, ni maamuzi ya baraza zima la mawaziri, kufuatia tume nyingi kuwa zile nymba ziuzwe).....kwahiyo, kama woote (viongizi wakuu) wamejiuzia, haiwezekani wasimshurutishe magufuli naye asinunue......maana wenzie wote wanakula nyama ya mtu nyumbani kwake (magufuli), alafu yeye asile na aseme ni haramu......haiwezekani, ilikuwa lazima naye alazimishwe ale nyama ya mtu, ili baadaye asije kuwageuka wenzie!

JK alisema angezirudisha nyumba zile serikalini, kama moja ya ajenda zake, sasa kikowapi hadi leo na mbona haziongelei tena na wala hajazirudisha? Magufuli alikwuwa gumbiselo tu katika zile nyumba, wenyewe wamejificha nyuma yake!

Niungane na Mkuu Liazaboni kuwa, endapo basi CCM ikamsimamisha huyo jamaa, basi itapata ushindi wa kishindo!

Embu tujiulize, endapo leo itokee Magufuli akahamia upinzani, unadhani katika uchaguzi huu wasingemweka kama mgombea urais rasmi kwa tiketi ya ukawa?
 
no 1 ukiangalia miradi mingi ya magufuli ina chembe chembe za rushwa kama uuzaji wa nyumba za serikali zoezi hili pamoja na kwamba halikustahili na pia hapaswi kubeba lawama lakini aliitumia nafasi hii kugawa nyumba kwa kimada wake na ndugu yake,uamuzi huo pia ulifanywa kwa pupa na matokeo yake watendaji wapya ilibidi waishi hotelini kwani hawakuwa na makazi baada ya kuteuliwaangalia ununuzi wa fery ya bagamoyo hii ni rushwa ya wazi kabisa kwanza fery haikidhi viwango na pia gharama kubwa iliyotumika

huyu jamaa kama jamaa wengine ni mpiga dili anayejua kucheza vyema na vyombo vya habari piarejea ripoti ya cag uone namna pesa nyingi ambazo matumizi yake hayaeleweki pia nyumba yake imekuwa ikikodishwa kama ofisi ya halmashauri badala ya kuhakikisha halmashauri inajenga ofisi zake hapo kuna mwingiliano wa maslahi binafsi akiwa waziri mwenye dhamana ya kuhakikisha serikali inakuwa na ofisi na majengo yake

ukija namba 9 amekuwa na maamuzi mengi ya kurupuka kama ubomoajiwa kituo cha mafuta mwanza ambacho matokeo yake srikali ililipa fidia ya bilioni tatu ni tanzania pekee mtu anayesababisha hasara anaweza kuendelea kuwa waziri badala ya kufungwa,ukamati wa meli ambao umesababishwa serikali kushindwa kesi na kuamriwa kulipa fidia bomoa bomoa yake ambayo haizingatii sheria ambayo imewaacha wananchi wengi maskini na kujenga chuki kubwa kati ya wananchi na serikali
 
Huyo mwizi mkubwa, aeleze ufisadi wa nyumba za serikali, aeleze umma ufisadi ukiopo miundombinu

Ama kweli we zumbu-kuku. Hujasoma thread unarukia ku post machicha! Magufuli ndo kijana pekee anayekubalika hadi kwenye majimbo ya upinzani. CCM wakijichanganya kusimamisha mgombea mwingine imekula kwao
 
magufuli ni jembe, mchapakazi, mwadilifu, mwenye maamuzi na anayeshaurika.
ana record nzuri tangu awe mbunge na waziri wa serikali tangu utawala wa mkapa. ameweza kusimamia vyema wizara zote alizoongoza na bado anaendelea na utendaji makini na wa kutukuka.

Magufuli ameshachukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama chake kuwa mgombea urais. kama ccm kitamteua basi watanzania watapata rais wa kihistoria wa kupita bila kupingwa ndani ya mfumo wa vyama vingi.

Mkuu, kichwachako kimebeba mawazo na mtazamo wa watanzania walio wengi
 
Kukariri kilometa za barabara siyo sifa ya kua rais wa inchi hii. Nyerere aliwai kusema angependa rais wa inchi awe mtu mwenye kujiheshim. Huyu jamaa hiko kigezo kimemtupa mbali. Mabinti wa UDSM wanamfaham vizuri. Tena wasichana wadogo wengine ni watoto wa majerani zake. Sasa akipewa urais, tutegemee ya Cliton na Monica lewisk. hata hivyo, CCM hawatampitisha, wanamfaham ni short tempered sana.

We kima usilete ishu binafsi za watu ambazo hazina chembe ya ushahidi na vyanzovyake ni umbea wa vijiweni..afterall, tukielekea huko hakuna atakayepona (Dr Silaa hadi Dj Freeman )
 
Kwa ujumla magufuli ni mtu safi hana shida yoyote tunamuombea awe Rais wa taifa letu ili atuongoze vema.
 
Back
Top Bottom