Dr. Mwakyembe anaweza kushinda kesi dhidi ya Mwanyamaki

Dr. Mwakyembe anaweza kushinda kesi dhidi ya Mwanyamaki

Mahakama zinakuaje Chini yake wakati ni muhimili tofauti? Mbona unatumia mafua kufikiri
 
Akishindwa kesi atapewa ubunge viti maalum na Magu!
 
Huyo aliyefungua kesi mwenyewe kiazi hana hoja za msingi kabisa.
 
Huyo mfungua kesi si member hapa aje atoe majibu km atashindwa au raha maana mmekuwa mambulula kumsakama mwakyembe muacheni afanye kazi ya Uma
 
Ilikuwa kazi nzito kufanya kazi chini ya JK. Dr Mwakyembe sasa atafanya vitu vyake ipasavyo

Ole wao waliokuwa wanaichezea chezea nchi kwa mambo ya ajabu ajabu
 
Huyo mfungua kesi si member hapa aje atoe majibu km atashindwa au raha maana mmekuwa mambulula kumsakama mwakyembe muacheni afanye kazi ya Uma

anatumia jina gani mkuu ? ni vema tukamfahamu huyu mtu anayetikisa siasa za kyela na Tz kwa ujumla .
 
anatumia jina gani mkuu ? ni vema tukamfahamu huyu mtu anayetikisa siasa za kyela na Tz kwa ujumla .

Huyo mganga njaa hana uwezo wa kutikisa siasa za kyela, anatumikia bwana zake wanaomtuma kumharibia mwakyembe, anajijua mwenyewe aje ajibu hapa maswali nilimuuliza
 
Huyo mganga njaa hana uwezo wa kutikisa siasa za kyela, anatumikia bwana zake wanaomtuma kumharibia mwakyembe, anajijua mwenyewe aje ajibu hapa maswali nilimuuliza

kuuumbeeee ! basi mwakyembe ni mwepesi sana anatikiswa na mganga njaa !
 
Mhe. Mwakyembe alikatiwa rufaa na mpinzani wake aliegombea nae ubunge mh. Mwanyamaki kupinga matokeo yaliyompa ushindi mh. Mwakyembe.

Sasa ameteuliwa kuwa waziri wa katiba na sheria. Kwa nature ya mfumo wetu je, haki itatendeka kweli wakati mahakama zipo chini yake?

Hapo ndiyo kwenye kizungumkuti.
Itabidi tu huyo Mwanyamaki kabla ya kuanza kusikilizwa hilo shauri, atume maombi kwenye mahakama iliyopangwa kulisikiliza shauri hilo, ili alihamishe na kulipeleka kwenye mahakama ya kimataifa ya uhalifu kule The Hague kwa Bensouda, ambako ndiko mahali pekee ambako angalau anaweza kuambulia haki yake.
 
Back
Top Bottom