kwanza jua nini unahitaji,
KUOA au LA / je mko tayari kuoana au la.
Wasi wasi ni nini?
Watu wengi hua wanasema ukikaa kwenye mahusiano ndipo utamjuwa mwenzi wako. Je ni kweli? Biaadamu hubadilika from better to worse, like wise. Huwezi sema nimekaa nae 5 years ndipo namjuwa mwenzi wangu, sio...
Katika maeneo ya Afrika, maeneo ya vijijini ya Umoja wa Mataifa, na vijiji katika India, matumizi ya udongo ni uhusiano na mimba na baadhi ya wanawake kula udongo kuondokana na kichefuchefu, pengine kwa sababu kanzu udongo njia ya utumbo na inaweza kunyonya sumu hatari. Udongo zinaweza pia kutoa...
Marehemu ni mtu aliye kufa lakini bado hajazikwa. Ndio maana huwa tunauliza alirehemeka lini? Hayati ndio alishafukiwa 6*6. Swali zuri.
Hayati " the late"
Marehemu " late"
Well mzee kunamambo inabidi ujiandae kabla hujafanya. Maana huwezi jua unaweza ukaleta madhara kiasi gani kupiga/ kumuacha/ kuua. Fanya maamuzi ya busara kwanza kabla hujachukua maamuzi. Kama bado unampenda na unaona huwezi kumuacha then usimfumanie maana itakuumiza na kutokumuamini maisha yenu...
huwa anakuandaa au anakurukia tu? hufurahii kivp?
kabla huja mweleza jua shida ni nn kwanza usije mvunja moyo kabisa na inaelekea huwa anafanya kwa uwezo wake wote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.