miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Itabidi tuangalie namna ya kufungua wa kwetu
wa kwetu bwana hapana kwa sababu siyo jmbo nuri labda tuende kule chit chat
Itabidi tuangalie namna ya kufungua wa kwetu
wa kwetu bwana hapana kwa sababu siyo jmbo nuri labda tuende kule chit chat
wewe ni mbea hataki rafiki wa kike
Hahahah.....mke mwenza mi rafiki yangu mume wetu tu baaas...
Hahahah.....mke mwenza mi rafiki yangu mume wetu tu baaas...
Miss Chagga unashare mume duh!?baby I am curious
sawa mkuu walaji ni wengi humu huwa wanapinga hakuna urafiki wa kike na mwanaume......queeny kama kuna ambaye umevutiwa nae tuma pm... ila uwe makini isijeikawa mbuzi kafia kwa mppika supu uachwi
miongoni mwa wale watatu[/QUOTE
Napata wivu lol
Hapana mimi ni mzazi hivyo napenda kuona mtu anafuata palipo nyooka kwani najua nini upendo hata mimi hutamani mtu kumpa upendo mnyoofu ambao upo chini ya moyo wangu hivyo kusema hivyo sikwa nia mbaya ni kwa nia njema ili baadae umpate umpendae kwani hapa nikama jangwani ukiweka nafaka zipepesuka na upepo hivyo siyo zote zitaangukia sehemu moja itategemea na spidi ya upepo! miss chagga nasema uongo?mbona umeongea kama vile baba yangu? calm down. I know exactly what I want
We acha zako bwana mume sio mbea
unasema ukweli mkuu........Hapana mimi ni mzazi hivyo napenda kuona mtu anafuata palipo nyooka kwani najua nini upendo hata mimi hutamani mtu kumpa upendo mnyoofu ambao upo chini ya moyo wangu hivyo kusema hivyo sikwa nia mbaya ni kwa nia njema ili baadae umpate umpendae kwani hapa nikama jangwani ukiweka nafaka zipepesuka na upepo hivyo siyo zote zitaangukia sehemu moja itategemea na spidi ya upepo! miss chagga nasema uongo?
Huo urafiki mama mwisho wake huwa ni kugegedana tu! Tena hakuna mtu rahisi kama hawa wanaojidai ni urafiki tu wa kubadilishana mawazo. Mimi niliishia kumgegeda wa kwangu, hivyo nina uzoefu na hiki ninachokisema, mama usituzuge hapa!!huyo anatafuta mchumba mie natafuta rafiki, mbio zetu ni tofauti
mume wetu wewe we ndiyo umjui ananimbiaga kila kitu unachofanya nae
ndo tatizo la wabongo wengi. eti hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke?? really? ina maana wewe huna rafiki yeyote wa kiume isipokuwa mume/mchumba wako?? na kama unao, uko nao kimapenzi???? acheni hizo jamani, sometimes u just need to get away from familiar people
miongoni mwa wale watatu[/QUOTE
Napata wivu lol
kila mtu anafanya kwa wakati wakate
nina marafiki lakini mwanaume at the en of the day atataka papuchi tu my dear labda kama si lijali..... take my words mwanaume atazunguka na wewe miaka hata kumi mwisho wa siku anawaza lini anafunua chupi yako
jamani jamani niko kwenye upweke usiopimika. natafuta rafiki jinsia ya kiume mwenye uelewa wa maisha na mstaarabu asiwe na majigambo. nahitaji mtu wa kubadiishana naye mawazo ya kimaisha, taaluma, mahusiano etc. awe above 30 na asiwe mwanafunzi wa chuo. lengo langu hasa ni kushare life experiences ndo maana nahitaji mtu anayejitambua.
MUHIMU; mambo ya kutongozana sitaki kabisa. nahitaji rafiki sio mpenzi.