Recent content by kingmb94

  1. kingmb94

    Wapi naweza kupata vifaa vya maabara kwa Mwanza

    Msaada : Mwanza kwa anae fahamu mahali wanapo uza vifaa vya Maabara kwa bei nafuu kama Microscope n.k naomb anielekeze naitaji kwenda kununua.
  2. kingmb94

    Natafuta kazi au sehemu ya kujitolea kufanya kazi ya Excavator Operator

    Natanguliza shukrani za dhati kwenu wakuu. Naitwa Robert ninatafuta kazi au sehemu yoyote ya kujitolea kufanya kazi kama Excavator Operator toka nimemaliza hii Kozi (VETA) nimehangaika sana kutafuta kazi but nilichogundua kazi nyingi sasa ni hadi mtu akushike mkono kifupi (Connection). Nipo...
  3. kingmb94

    Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

    Pindi mnaangaika na kozi za mdaa mrufu wahun tumepiga hii machine now tunakur maisha bira stress
  4. kingmb94

    MSAADA :KUMALIZIKA KWA MKATABA.

    Natumain ni wazima wa Afya, Je kuna ulazima wa mwajili kumpa barua (notes) Mwajiriwa kuwa hatoweza kumwongezea mkataba mwingine atakapo maliza mkataba alio nao. Nawasilisha kwenu kwa ufafanuzi wa sheria zinavyo sema
  5. kingmb94

    Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Naomba kujua kuna umuhimu wa mwajili kumpa barua ya kutoongeza mkataba kwa mfanyakazi ambae mkataba unaenda kumalizika msaada tafadhali.
  6. kingmb94

    Wale wale bingwa wa kuuza vitu used najidakia deals pata vitu hivi

    Mi naitaj King'amuz nipo Kibaha Je kipo full au
  7. kingmb94

    UNGA LISHE

    Penda lishe Bora ni unga lishe unaotumiaka kupigikia uji Watoto,wajawazito,Wanyonyeshao,Wanamichezo na watu wa rika zote Kama kifungua kinywa. Faida za kutumia Penda lishe borae *Huimalisha mifupa ya fahama kwenye ubongo. *Una madini ya Zinc, Omega3 na 6. *Husaidia sumu kenye figo na kibofu cha...
  8. kingmb94

    Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

    Hao Wa bukoba bei gan kwa kila ujazo Wa gunia Sent using Jamii Forums mobile app
  9. kingmb94

    Msaada kwa mwenye video hizi................

    Three suitors one husband, Sent using Jamii Forums mobile app
  10. kingmb94

    Jamani tusemeni tu ukweli, Mange Kimambi is a Tanzanian hero

    Kumbe una mzungumzia huyu kahaba anae jiuza. Pole San
  11. kingmb94

    Kuna mapungufu makubwa katika dhana ya uelewa kuhusu maandamano miongoni mwa wananchi wa kawaida

    Umeongea point wakitaka niandamane watangulie wao na familia Zao mbele na wanipe sababu za kunifanya na mm niandamane
Back
Top Bottom