MSAADA :KUMALIZIKA KWA MKATABA.

kingmb94

Member
Mar 20, 2017
53
36
Natumain ni wazima wa Afya, Je kuna ulazima wa mwajili kumpa barua (notes) Mwajiriwa kuwa hatoweza kumwongezea mkataba mwingine atakapo maliza mkataba alio nao. Nawasilisha kwenu kwa ufafanuzi wa sheria zinavyo sema
 
Rejea kifungu cha 41 cha Sheria ya kazi na Mahusiano kazi Na. 6 ya Mwaka 2004.
IMG_20190516_163401_549.JPG
 
Back
Top Bottom