Upo sahihi kabisa soma kama unapenda ila usifikilie kuishi maisha bora na kupata maendeleo kwa mshahara wa laki 8 kwa mwezi.''Its true few will understand you after six yrs and 3yrs of prayer and hope'' yan MD for TZ mshahara nimdoga sana compare na mda wanao spend school just imagine 6yrs anasoma tena wengi private 6 to 7 milions per year ana maliza anasota mtaani for 2yrs akbaatika kuajiriwa take home aifiki milion ....ukimlinganisha na mtu alie soma koz za miaka 3 mfano education akapata gpa 3.8 na kuunga master yeye akiwa intern mwenzake kashaanza kupiga mapindi kama asst lecture so this 2 people salary yao ni tofauti kabisa so,,,,, Kama unapenda md soma kama ur desire