Recent content by kingDS

  1. K

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi na Mh Raisi tusaidieni kuhusu JKT tunaadhirika vijana wenu

    Swafwi sana kijana, watu kama ww ndo wanaotafutwa. Ngoja waje wanaofahamu vigezo wakupeleke kabisaaaa ila maumivu kule ni kumeza hakuna kutema. Kaz kwako
  2. K

    JamiiForums Tanzania Msomi ambaye hajawahi kufeli "Nikki wa Pili" hajui kuandika

    Anasema <<mabalabala>> [emoji13] [emoji13] [emoji13]
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume: Je ni kweli kuweka pesa kwenye 'wallet' ni ushamba?

    Heeee nini tena mkuu[emoji13] [emoji13]
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume: Je ni kweli kuweka pesa kwenye 'wallet' ni ushamba?

    Naona tuanze kuhifadhi kwenye soksi sasa, mwanaume nunua soksi ndeffffffff zile pandisha had kwa paja pachika mpunga wako....... Uko safe na utatembea hata na mil. 30 uonekane unazo.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume: Je ni kweli kuweka pesa kwenye 'wallet' ni ushamba?

    Ninayo wallet yangu simpo nikikunja note vizuri huwa zinakaa hadi noti 70, fanya hesabu huwa inaingia bei gani hiyo. Mbali na hapo njia za kihifadhi pesa siku hizi ni rahisi sana haina haja ya kutembea na milion mfukoni bwn
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume: Je ni kweli kuweka pesa kwenye 'wallet' ni ushamba?

    Usisahau na wale wanaochimbia chini zinaliwa na mchwa[emoji28]
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    LPG[emoji23] [emoji23]
  8. K

    JamiiForums Tanzania John Obi Mikel: Mchezaji 'mchawi' zaidi duniani

    Na Ancelot pia hajamtema
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tecno C9 kwanini inagoma kupokea apps kutoka nje ya playstore? Msaada jamani

    Download kitu inaitwa super user
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tecno C9 kwanini inagoma kupokea apps kutoka nje ya playstore? Msaada jamani

    ruhusu apps from unknown sources
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Habari za jeshi huwa haziwekwi public, zikitoka huwa ni kuhusu jeshi tu na ndani ya jeshi. Hupaswi kukata tamaa kwa namna yoyote ile ila silaha kubwa uvumilivu na kusubiri chombo husika kikutaarifu chenyewe wala hapahitaji tetesi hapo. Hizi mnazopashana humu hata mkiondoka zitaendelea...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini kwenye maadhimisho ya miaka 52 ya jeshi

    subiri waje wskupe majibu [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Tuko pamoja mkuu nilikuwa nafuatilia hilo LPG nilijue
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    [emoji736]
Back
Top Bottom