Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

LPG inapatikana wapi hii nikainunue.... ama kweli Kujua Kwingi.....
 
Wakuu mbona tunakatishana tamaa ila nawaomba tuwe wavumilivu serikali inapangilia bajeti tutaenda makamanda.
 
nkanga chief

Wewe huna lolote lile umekosa nafasi ndo maana unaropoka ropoka tu na nina wasi wasi hujawahi hata kwenda JKT, maana nakuona unatanga tanga tu huna muelekeo kila kwenye thread za kulalamikia serikali upo,kwenye watu wanaomba ajira za watu wa afya upo,kwenye wanaosubiria kwenda chuo upo,kwenye waliositishiwa ajira kwa muda kupisha uhakiki wa wafanyakazi hewa upo, kila kona upo hadi maandamano wewe ndo mhamasishaji upoo sasa wewe si ni mtu uliyepoteza direction tuu..
My Take: Tafuta kazi ufanye na kama ulipitia JKT tumia zile skills za uzalishaji mali kujipatia kipato acha kupoteza muda una lia lia mitandaoni na ku rob rob
 
Ignore him. Watu wa aina hii huwa wanakuja na kuondoka

Tulikua na kina OilSumu, Kikoozi,etc etc wote walitulia . Penye wengi pana mengi ndio maana JF wakaweka option ya kuignore, muweke kwenye ignore list ma hutaona tena post zake
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji16] [emoji16] sahau
Wewe huna lolote lile umekosa nafasi ndo maana unaropoka ropoka tu na nina wasi wasi hujawahi hata kwenda JKT, maana nakuona unatanga tanga tu huna muelekeo kila kwenye thread za kulalamikia serikali upo,kwenye watu wanaomba ajira za watu wa afya upo,kwenye wanaosubiria kwenda chuo upo,kwenye waliositishiwa ajira kwa muda kupisha uhakiki wa wafanyakazi hewa upo, kila kona upo hadi maandamano wewe ndo mhamasishaji upoo sasa wewe si ni mtu uliyepoteza direction tuu..
My Take: Tafuta kazi ufanye na kama ulipitia JKT tumia zile skills za uzalishaji mali kujipatia kipato acha kupoteza muda una lia lia mitandaoni na ku rob rob
 
Wewe huna lolote lile umekosa nafasi ndo maana unaropoka ropoka tu na nina wasi wasi hujawahi hata kwenda JKT, maana nakuona unatanga tanga tu huna muelekeo kila kwenye thread za kulalamikia serikali upo,kwenye watu wanaomba ajira za watu wa afya upo,kwenye wanaosubiria kwenda chuo upo,kwenye waliositishiwa ajira kwa muda kupisha uhakiki wa wafanyakazi hewa upo, kila kona upo hadi maandamano wewe ndo mhamasishaji upoo sasa wewe si ni mtu uliyepoteza direction tuu..
My Take: Tafuta kazi ufanye na kama ulipitia JKT tumia zile skills za uzalishaji mali kujipatia kipato acha kupoteza muda una lia lia mitandaoni na ku rob rob
Huyo jamaa haelewekagi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom