Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

DEPO MPAKA MWAKANI MWEZI WA PILI UTAKE USITAKE UKWELI NDOO HUO NA UKWELI CKU ZOTE HUUMA
 
Mnaosubil muwe wavumilivu tu, maana sio nyie tu kuna walim Na wahitimu wengine hawajapata ajira za serikali
 
🙁🙁
we jamaa hua unakatisha watu tamaa,hunaga info za kueleweka..cc tutasubiri tu haina noma.
Habari za jeshi huwa haziwekwi public, zikitoka huwa ni kuhusu jeshi tu na ndani ya jeshi. Hupaswi kukata tamaa kwa namna yoyote ile ila silaha kubwa uvumilivu na kusubiri chombo husika kikutaarifu chenyewe wala hapahitaji tetesi hapo. Hizi mnazopashana humu hata mkiondoka zitaendelea kuwepo, try to ignore them....!!! Utatarifiwa mbona
 
Huna Utofauti na Mwanamke amebae hajakeketwa huku Kwetu Ukuryani.
Sisi huwa hatumtongozi hata awe mzuri aje mpaka kisu cha Ngariba kipite pale kati.
Jiheshimu mkuu jaribu kuwa kama Umekeketwa midomo yako hiyo unaropoka sana tena acha uchinga Wee Mwanamke .
Sio lazima uchangie hapa .
 
DEPO MPAKA MWAKANI MWEZI WA PILI UTAKE USITAKE UKWELI NDOO HUO NA UKWELI CKU ZOTE HUUMA
Kamwe waliofaulu kuingia depo wasitarajie kuingia mwezi wa Pili Mchakato utaanza upya kwani social life wengine watakua wameshapoteza sifa.
 
Huna Utofauti na Mwanamke amebae hajakeketwa huku Kwetu Ukuryani.
Sisi huwa hatumtongozi hata awe mzuri aje mpaka kisu cha Ngariba kipite pale kati.
Jiheshimu mkuu jaribu kuwa kama Umekeketwa midomo yako hiyo unaropoka sana tena acha uchinga Wee Mwanamke .
Sio lazima uchangie hapa .
Mkuu JKT mnaruhusiwa kuchati? Hawajambo maafande.
 
Mi nilikua napita tuu nimeona huu uzi bado upo kwaherini.
 
huna bahati ndg tulia tu kitaa vijana watasepa watawaacha na ujinga wenu hapa roho mbaya ya nn mtakufa hivo hivo wee na mapimbi wenzio Farahhhhh
Mchakato ulianza Ndo nimenunua Kiwanja ijumaa nilijaza Form ya TANESCO ili kuweka Umeme nyinyi bado mpo kwenye michakato.
 
Back
Top Bottom