Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

WAZEEE WA JAKATA NINI[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji15] [emoji15] [emoji2]
 
Ni upload Vyeti kana ili iweje Tata Mura weitu ?

Jeshi ni Moja tu Mkuu wangu hakuna wa la Saba wala Wa Shahada, mkiwa mahali mtakua na mtaitwa Maaskari ila sio Askari wa la saba au Askari wa Degree, Huyo wa Degree anaefanya hivo anakosea sana kujitenga na wenzake kisa yeye ana Degree .

Huyo mwenye Shahada anaemshambulia wa la Saba ana matatizo yake kichwani.
Mi siwezi kujigamba kwa Elimu niliyonayo kuna watu wana Elimu kubwa na zinawalipa kuzidi Mimi ntakae jigamba .
Pia waambie hao wenye Shahada zao waache kujiona mavyeti yao na kuanza kufikiria mavyeo ya kijeshi na huku hata kale ka T-shirt tu hawajakavaa na suluba zingine bado kwani safari bado ni ngumu na ndefu .

Tell them to get rid of Over expectations with their degrees in the army, I think that in order to be a Military officer in our Tz Army it takes a time and some series of Interviews are passed so as to be the one wanna be, it's not a single day dream scene or a single scene in an American Rambo Movies , so let them stop their Absurdity.
They have to transcend reality and be ready for any encounters they will have to match with .
Ras simba njoo huku.
 
Nkanga embu niteme brother! Wewe hua ni mropokaji. Ni kitendo cha kupokea jibu ama maelezo yako / kujibizana na wewe ni bora nilipuliwe na "LPG" hahaha! Nteme tu brother.
Hahaha jamaa asiwababaishe hana anachojua huyo
 
Nkanga embu niteme brother! Wewe hua ni mropokaji. Ni kitendo cha kupokea jibu ama maelezo yako / kujibizana na wewe ni bora nilipuliwe na "LPG" hahaha! Nteme tu brother.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] nanga ww
 
Back
Top Bottom