Recent content by kingdomz

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kuendelea na ajira ya ualimu serikalini nimeacha kazi

    Duh,serikali inaratiza watu kwa kweli maana wa private anataka kurudi serikalini na wa serikalini anataka kwenda private yaan ni shida tupu.....LAKINI cha msingi ni kama walivochangia wengine sasa hivi upepo umebadilika kwa watumishi tunatakiwa kuwa na ajira huku tukijiwekeza katika ujasiliamali...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

    11
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baadhi ya watumishi wa umma hawajapata mshahara

    Mhhhh,tupo wengi tusiopata mshahara...lakin vp mliopata kuna kilichoongezeka?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rais tunaomba uingilie kati stendi ya Bukoba tumechoka

    Ni kweli sio wahaya pekee waishio huko lakini wahaya ndio wenyeji wa mahala hapo,kwa hiyo kukiharibika ni wahaya wenyewe
  5. K

    JamiiForums Tanzania Alietobolewa macho na scorpion amtosa mkewe na kusepa!

    Naona tusubiri huyo said atoe maelezo maana hatujui ya undani yawezekana alikuwa anafanyiwa mambo ambayo sio kwa kutoona kwake
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa JK aula Etihad Airways

    Hongera kijana,lakini mtoto wa mkulima sizani kama angepata fursa hii,kumbe kweli maji hayasahau njia.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zambia atangaza hali ya dharura

    Ita makachero bwana lungu watakwambia nani muhusika wa uhujumu huo.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Marekani yaiambia Korea kwamba ipo tayari kwa vita

    Hivi ndivo hata mimi ninavozania..maana kama America angekuwa na vibaraka wa kutosha NK kama vile FBI angekuwa tayar ameshamsoma anajivunia nini NK lakin naamini hawa makachero wameshindwa kupata taarifa za kijeshi...NK ni wababe wanaochipukia na kutawala jukwaa.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kama serikali imeruhusu mbegu za mahindi za GMO, watanzania tutegemee maradhi yasiyotibika

    Jaman kama ni kweli hizi ni hatar tuungane kwa pamoja wanajf kupiga kauli mbiu kupinga mpango wa serikali kupitisha mbegu hizo...tusizungumzie hawa wasomi maana tayar wameshapewa semina na marupurupu kipao kiasi kwamba jambo la kweli linakuwa la uongo na la uongo ndo linakuwa la kweli...mungu...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini wadada Tanga huwa ni wakarimu sana na wenye maneno laini kwa mwanaume?

    Angalia usije ukarudi na kandambili mkononi.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mikasa ya Kutisha,vituko,visa na vioja miaka ile tunasafiri wiki moja Dar-Mwanza. Siku 3 Dar-Singida

    Kaka ni kweli aliyoyasema maana hata huku kwetu maeneo ya kusini ni hayohayo yalikuwa yakijili
  12. K

    JamiiForums Tanzania Israel yasema uhusiano wake na Saudi arabia umeongezeka maradufu

    Naunga mkono kaka
  13. K

    JamiiForums Tanzania Pentagon And South Korea Respond

    Marekan hajui exactly nguvu ya babu kiduku ndo maana anashindwa kufanya maamuzi ya kumvamia au kumpiga...maana kwa kurupukurupu za trump angekuwa ameshamchapa..kwa hiyo intelijensia ya marekan bado haijapenya kupata ukweli wa nguvu za kivita za NK
  14. K

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya sifa za wanyama katika mataifa hapa ulimwenguni

    Nashukuru mtoa mada kwa kutujuza mengi...ila sifa za twiga ni mzuri mno
  15. K

    JamiiForums Tanzania MAUAJI KIBITI: Mke wa kada wa CCM aliyeuwawa aeleza mauaji yalivyotokea, Mkuu wa wilaya anena

    Kweli mkuu maana huku ni kuhatarjsha aman
Back
Top Bottom