Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,466
- 13,031
- Thread starter
- #21
Bwana mapanki anawapa hofu US sana japo wanamdharau lakini anawafanya wasumbue akili zao maana hawajui anawaza nini ukizingatia jamaa mwenyewe kama amedata![]()
Tehe!, kwa kweli...lol
Wanamdharau nje tu ndani anawakosesha usingizi
Kuwakosesha usingizi kupo, maana mtu mwenyewe haeleweki eleweki halafu ana Nuke,
ambayo haijawahi kumwacha mtu salama.