Rais wa Zambia atangaza hali ya dharura

Rais wa Zambia atangaza hali ya dharura

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,622
Reaction score
8,427
_96823831_47196be4-9e01-4fbb-ba48-5d93e1d499c2.jpg
​

Rais wa Zambia Edgar Lungu ametangaza hali ya dharura nchini humo kutokana na moto mkubwa uliyotekteza soko kuu la mjini Lusaka.

Moto huo pamoja na visa vingine kama hivyo unadhaniwa kuanzishwa kwa maksudi na rais Lungu anasema ni vitendo vya kuhujumu uchumi ili kuifanya Zambia isitawalike vyema.

Hata hivyo wapinzani wake wanasema Rais Lungu anatumia mikasa hiyo kama kisingizio cha kuendeleza utawala wa kiimla.

Chanzo: BBC
 
Ita makachero bwana lungu watakwambia nani muhusika wa uhujumu huo.
 
Au ni pale stars ilipotangulia goli moja hadi dakika ya 44 kipindi cha kwanza pengine hakuamini Zambia kutanguliwa goli na Tanganyika
 
Zambia , ina hali ngumu sana ni landlocked kwa hiyo hali hiyo lazima iwachanganye.

Zaidi, ina internal enemies kitu ambacho kwenye usitawi wa nchi yoyote ile huwa ni ngumu sana kukabili adui waliomo ndani ya nchi.

[HASHTAG]#The[/HASHTAG]bold, [HASHTAG]#Nifah[/HASHTAG], [HASHTAG]#Infantrysoldier[/HASHTAG], [HASHTAG]#BeautifulNkosazana[/HASHTAG] na wengine watakuongezeeni maelezo kuhusu kuwa na adui wa ndani ya nchi inavyokuwa ngumu.
 
Back
Top Bottom