Nunua FAW au Shacman 3 za kubeba Mchanga, kokoto na mahitaj mengine ya ujenzi hesabu yake ni 500k mpk 600k ukiwa nazo 3 utapata 1.5 per day...nawasilisha
Meaning of IGA ni Inter Governmental Agreement Ukiangalia Dubai sio nchi, na ndio mana mawakili wakawa wanasema kuwa DP world na Dubai haziina capacity ya kuingia kwenye IGA bali UAE ndio wangeweza kufanya hivo.Tanzania ni nchi sasa kivipi uiite IGA mkataba ulioingiwa na party ambae hana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.