Recent content by KINGA

  1. K

    JamiiForums Tanzania Magari ya kusafirisha abiria yameoza tutapona hizi ajali?

    Habari ya asubuhi wana jamvi,ndg zang inatia uchungu,hasira na maskitiko kuona mamlaka zetu zinazohusika na vyombo vya usafiri wa majin na nchi kavu ktoa vibali/lesen kw magar yaendayo mikoan yakiw mabovu.unakuta gar mlango haufungi,drva anatmia mda mwng kushkria mlango kulko umakn brbran,gari...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hakuwahi Kuniuliza Kazi Yangu, Kabila, Dini Wala Mwnyeji wa Wapi!

    Katika harakati za maisha vijana 2naanzia sehem mbalimbali,mwaka 2006 ktk kuanza maisha ya kkaz nlijkuta nmepangwa mkoani Tabora ktk wilaya flan,hko nliish kma bachela,cku zlvozdi kwnd nlpata demu(mpenzi)alikuw kma mke kwn alitmiza kila swala linalomhusu mke,ikiwemo sex,kupka,kfua nk,bdae mwka...
  3. K

    JamiiForums Tanzania TBC aibu tupu kwa taifa

    Hili la vazi la taifa wadau linakera,hiz ghalama za kulitafta ukijumlisha na zile za miaka 50 ya uhuru zingetosha kuongeza mshahara wa madaktari.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mtu mwenye cv ya hivi

    Ndg zang naomba mnisaidie ktk sehemu ya referees kwenye cv,eti hairuhusiwi kumuandika ndugu mwnye jina moja kma referee wko?na ni watu gani wanafaa kuw mareferee?mfano walimu wako,marafiki,mabosi nk.na je m2 ukimuandka kma referee lazima awe na taarifa.ahsanten.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Walimu wenzangu tujuzane we umepangiwa wapi?

    Ndugu zangu mi nimepangwa kasulu,cjawahi kufika,pakoje?huduma kama bank,hospital,umeme,maji vipo.ahsanten.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Wafanyakaz hta wakigoma miaka mia ila mshahara kma cha chn 350,000 haiwezkan.(jk)
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka CHADEMA: Updates juu ya msiba wa Mheshimiwa Regia Estelatus Mtema

    R.I.P Regia Mtema
  8. K

    JamiiForums Tanzania wasiwasi mwabulambo acha hizo

    Hata kibonde wako mwnyew hna lolote.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hodihodi wenye mji.

    Watu wa huu mji wakarim kwelkwel,ndg zang msnichoke nitakaa mpaka xmas ya 2015
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hodihodi wenye mji.

    Habari ya mwaka mpya.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi wenye mji.

    Habari ya mwaka mpya.
Back
Top Bottom