Magari ya kusafirisha abiria yameoza tutapona hizi ajali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magari ya kusafirisha abiria yameoza tutapona hizi ajali?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KINGA, Feb 11, 2012.

 1. K

  KINGA Member

  #1
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari ya asubuhi wana jamvi,ndg zang inatia uchungu,hasira na maskitiko kuona mamlaka zetu zinazohusika na vyombo vya usafiri wa majin na nchi kavu ktoa vibali/lesen kw magar yaendayo mikoan yakiw mabovu.unakuta gar mlango haufungi,drva anatmia mda mwng kushkria mlango kulko umakn brbran,gari haina mikanda ya abria,siti zmeoza,hakna vioo madrishani.ynaanzia ubungo>mikoan mwnza,kgoma,shnynga,tbra nk.je tatzo ni mamlaka zetu?
   
 2. mwanamapinduko

  mwanamapinduko Senior Member

  #2
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ni kweli ukisafiri kati ya dar-mwz ndio utagundua magari yote ni mabovu. Kila gari utakayopanda lazima ina fundi mmoja au wawili na lazima itengenezwe njiani.
   
 3. p

  pazzy Senior Member

  #3
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 194
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  baadhi ya wamiliki wamagari yakusafilishia abilia wapo makini lkn wamiliki wengine hawako makini, wadau hv mmiliki wa mabasi ya SUMRY anatufanyia makusudi abilia wa mbeya hadi arusha kwanini haweki mafuta yakutosha kwenye gali zake? ni aibu kwa kampuni kubwa kama hii kuishiwa mafuta njiani mara kwa mara" jana usiku abiria wamekaa zaidi ya saa moja nanusu maeneo ya philipsi wakisubili mafuta yaletwe na bodaboda........wamiliki na wasimamizi wa magali ya SUMRY jitahidini kubadilika ili huduma zenu ziendane na thamani ya fedha tunazolipia.
   
 4. pinochet

  pinochet JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 345
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Unajua mkuu, hata akina baba Mwanaasha wana hisa katika haya makampuni ya usafirishaji. So, sumatra na traffic police departments wako undermined. Thanks for your observation mkuu.
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,520
  Likes Received: 19,943
  Trophy Points: 280
  serikali imejaa rushwa lakini na sisi si tunawapigia kura kila kukicha/?
   
 6. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Tuna hasara sana na uongozi uliopo madarakani.

  Na hata unakuta magari yaliyo mabovu ni ya walewale viongozi wetu.

  Yani kuna kazi kweli kweli!
   
 7. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!

  Lakini kama mpo DSM msiende mbali sana kwani vuka Bahari ufike sehemu inayoitwa KIGAMBONI.

  Huko ni kwamba Serikali na vyombo vinavyohusika (SUMATRA na TRAFIKI) wote wapo LIKIZO, daladala za huko zote ni mbovu; na askari wanaziona tena nao wanapanda hizo hizo. Nilishuhudia mara mbili kwa macho yangu Daladala zikichomoka tairi ikiwa kwenye mwendo. Yaani naona kama hawako katikati ya JIJI. ambapo ukiangalia upande wa pili wa bahari unaiona TRAFIC Makao makuu.

  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
Loading...