Walimu wenzangu tujuzane we umepangiwa wapi?

Geita kuna advance ngapi? Naomba nijuzwe kwani mi naenda huko.

geita inategemea wameitreat kivipi i.e geita kama wilaya (zamani) au geita kama mkoa (wilaya zake 3). Inachanganya sana kwa sasa, hata wafanyakazi hawaelewi wapo wapi mwanza au geita.. idara nyingi bado zipo chini ya mkoa wa mwanza
 
tunashkuru sana kwa ushauri wako ubarikiwe hv mwalimu anaempa mimba mwanafunzi hukumu yake ni ipi?

mnaweza mkayamaliza kifamilia kwa kuamua kumuoa binti au mnaweza kwenda mahakamani kukutana na wanaojifanya wanatetea haki za wanawake kutafuta vyeo vya juu.. jela si chini ya 15yrs
 
Nilkuwa namuomba sana mungu walimu mpate ajira, nimefurahi sana leo kuona mkiwa na furaha. Kuhusu maisha ya kituo ulichopangiwa wewe ndio mwamuzi ukiishi vizuri na watu (wanakijiji, wanamji) utayafurahia sana maisha na utafanikiwa. Mjiweke chini msiende kuonesha madoido na dharau kwa wananchi... ohooooo... matarushwa vichaa au wazazi wenu watapokea mwili. Nawaambia haya kwakuwa nimepitia haya maisha na ninafahamu.!

Cha mwisho, vijana wa kiume msiviharibu vibinti, mtapigwa visu [mkishindwa kujizuia muoe]

Nimefurahi sana leo wandugu

Mkuu asante sana na Ubarikiwe sana hapo ulipo na tuendelee kuwaombea wenzetu wengine nao wapate kazi
 
tunashkuru sana kwa ushauri wako ubarikiwe hv mwalimu anaempa mimba mwanafunzi hukumu yake ni ipi?

Ndugu Polite hili nalo linahitaji maelezo zaidi? Mwalimu Kuzini na mwanafunzi ati unauliza adhabu yake ikoje? Hii hatari sana
 
Karibun kigoma vijijin,Nyarubanda high school,alevel ndio hii pekee,barabara rami tu!
 
Ndugu Polite hili nalo linahitaji maelezo zaidi? Mwalimu Kuzini na mwanafunzi ati unauliza adhabu yake ikoje? Hii hatari sana

mkuu u have QUOTED ME OUT OF CONTEXT,nilichouliza ni kumpa mimba sio kuzini,kumbuka zinaa ipo mahali pengi hata kwa viongozi wa dini.napenda kuwa na ufahamu wa sheria za nchi .Je unamkumbuka yule mwalimu alienda kufunga ndoa na mwanafunzi kwenye ofisi ya serikari je alijua sheria na hukumu ni ipi hapo
 
mi nimepangwa serengeti mara wa huko nipeni habari na kutoka dar unapitia njia ya arusha au musoma?
 
Mkuu kama nimekukwaza kumradhi sana tuendelee na umoja wetu
 
mi nimepangwa serengeti mara wa huko nipeni habari na kutoka dar unapitia njia ya arusha au musoma?

unapitia mwanza [kwa bus unafika saa 2 usiku mwanza], kutoka mwanza mpk serengeti ni kama saa moja na nusu, unaweza kulala mwanza guest ni kama 20,000/= mpk 30,000 za ukweli na usalama siku ya pili unaenda serengeti bila stress na wakati wowote coz kuna mabus mengi sana asubuhi mpk jioni

kwa wale wa geita kuna mabus ya dar-geita na unaunafika usiku huohuo
 
tunashkuru sana kwa ushauri wako ubarikiwe hv mwalimu anaempa mimba mwanafunzi hukumu yake ni ipi?
Anafukuzwa kazi na Utumishi na kufungwa jela miaka 30, usithubutu kabisa kufanya kitu kama hicho mdogo wangu. Wanawake wapo wengi tu
 
Ndugu zangu mi nimepangwa kasulu,cjawahi kufika,pakoje?huduma kama bank,hospital,umeme,maji vipo.ahsanten.
 
waalimu tafadhalini mkafanye kazi ya kuinua taifa leo popote pale mtakapo pangiwa bila kujali mazingira
 
Back
Top Bottom