Recent content by king_fahd

  1. king_fahd

    JamiiForums Tanzania Shilole aamua kuonyesha minyonyo Ubelgiji

    Hp mambo yt ulizi tena ukiomba unapigwa kibao.
  2. king_fahd

    JamiiForums Tanzania Man'dojo na Domokaya

    Mbona jamaa tupo nao hapa mtaa wa kongo n Narung'ombe wanauza viatu vya kike tena maarufu sana kwa wanawake ukifika dukan kwao wanawake wanakanyagana.
  3. king_fahd

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sifa za mwanaume rijali, soma ili ujue upo kundi gani

    Mm sisemi uongo nimetembea n wamawake wengi niliokaa nao kwa muda w mwaka n zaidi n watano na niliokaanao zaid y miaka 3 n zaid wawili,ss cjui niseme tatizo au hisia naweza kulala mwanamke zaid y siku nzima nisikoje,katika wanawake niliokua nao hawa wawili tu ndio waliowai kunikojoza ndan ya ck...
  4. king_fahd

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona pweza wakitumika kama mboga.

    Pweza hawezi kua mboga,mboga n jamii ya vyakula vya majani,sipendi kukuosoa ila nakusahihisha pweza ni kitoyo,km kuku,ng'ombe,mbuzi n samaki wa kawaida,kwa hy tofautisha kitoyo n mboga, Pweza anaweza kupikwa mchuzi wa aina unaotaka ww mlaji,mchuzi wa maji,mchuzi wa mafuta,mchuzi wa Nazi,pweza...
  5. king_fahd

    JamiiForums Tanzania USAHIHI: UKAWA hawajagawana Majimbo

    Kwa upande wetu wa Zanzibar yy ataesimamishwa kwa tkt ukawa ss tutamchagua,huku mgombea wa ukawa ajue anamtaji wake bila y pingamizi.
  6. king_fahd

    JamiiForums Tanzania CCM 2015 wajiandae kukabidhi nchi kwa UKAWA

    Habar chin y mkeka Lowasa,Membe wametolewa njee rasmi n kutogombea uraisi tiket ya ccm.
  7. king_fahd

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai ni mgonjwa, hawezi hata kuongea...

    Sio peke yake,habar zilizo chini chini yule mama mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa ccm Zanzibar yule anaongoza kwa siasa za chuki n ubaguzi aliembagua jussa n kumtukan kwenye bunge la katiba,mama Asha Bakar Mtama nae hali yk sio nzuri nainavyosemekan time yoyote anapelekwa India,chanzo kikubwa...
  8. king_fahd

    JamiiForums Tanzania Leo nimebaguliwa na Wahindi

    Ww ungetoa Airfresh ukapulizia.
  9. king_fahd

    JamiiForums Tanzania Ni wife material ila hana hips

    Sio muoaji kwa ww unataka bastol au hicho kipochi cha siri?
  10. king_fahd

    JamiiForums Tanzania Wakati unatongoza uliambiwa leo wivu unatoka wapi?

    Hii dunia ya mapinduzi pindua n ww upinduliwe,hakuna msitu usiokuwa na nyoka.
  11. king_fahd

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na ukweli wake!

    Mkuu kwenye hy safu yko y utafiti ungeongeza ya 5 ya wezi wanaotuibia kodi zetu,nadhani hapo tungejua mfumo upi unaotengeneza wezi.
  12. king_fahd

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete, Inafika Muda Unasema Basi. Hii ni Aibu Sasa !

    Hy kashifa,unapozugumzia jambo la binafis jaribu,kuweka ubinafis,usishirikishe n watu au jamii fulan hilo nikosa,n unyanyapaa,Kwan nyinyi watu wa bara mna mabaya mangipi hatuyasemi!
  13. king_fahd

    JamiiForums Tanzania Mwenye namba hii ni tapeli 0656777151 kaliza mtu tayari

    Mm mwenyew kanipigia jana jion mida saa 12:30 nakuniambia mtoa huduma ya tigo pesa,kanimbia kuna huduma y bima ya ajali km nataka kuungwa nimtumie 10000,sema alikosea kitu nikamshitukia kanitajia umri tofauti niliosajilia kwenye tigo nikaanza kum bana akawa anatoa maelezo y...
  14. king_fahd

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akutwa na risiti ya lodge

    Mm mwenye sijamuelewa!!!!
  15. king_fahd

    JamiiForums Tanzania Papa Francis: There are limits to free expression

    Hakuna mkiristo hatayeweza kuimaliza dunia,km kukashifia wote tunakashifian lkn sio kwa kutumia media,nionyeshe gazeti moja la kiislamu lillilowai kuchora kikatuni cha Yesu,km tukashifian n ss wa afrika tena wa mashariki kwenye miadhara yet y kina Mazinge n Simba Uranga,lkn ukiangalia debet...
Back
Top Bottom