USAHIHI: UKAWA hawajagawana Majimbo

USAHIHI: UKAWA hawajagawana Majimbo

Leo kumezuka taarifa katika magazeti kuwa UKAWA wamegawana majimbo 211 na bado majumbo 18,

Taarifa hiyo sio ya kweli, ni taarifa yenye lengo la kupotosha umma na kudhalilisha umoja wetu wenye nia ya kumkomboa Mtanzania dhidi ya serikali hii dharimu.

Maadhimio ya wakuu wa Ukawa mwezi jana yalikuwa ni ya pamoja, ambayo ni Vyama vyote vitapendekeze/vitateua wagombea wao wa Urais ambapo CUF itampendekeza mgombea wake, CHADEMA itampendekeza mgombea wake, NLD itampendekeza mgombea wake na NCCR MAGEUZI itampendekeza mgombea wake pia,

Kisha wagombea wote watakutanishwa na kamati kuu/wajumbe wa mkutano mkuu wa vyama vyote kwapamoja watamchagua mgombea mmoja atakaye gombea kupitia UKAWA.

Vivyo hivyo kwenye ubunge, vyama vimeruhusu watia ni wao wajitokeze kuutangazia umma kuwania majimbo,

Hatua za kumpata mgombea wa jimbo kuputia UKAWA ni sawa na zilezile zinazotumika kumpata mgombea urais. Labda pale ambapo kuna ufuasi wa chama kimoja tu basi vyama vingine vitaunga mkono tu.

Sasa propaganda zinazoendelea zinatoka mtaa wa saba kwa majoka yenye makengeza, Makamanda kuweni makini msiyumbishwe na uzandiki huo wa ccm.

Wale mnaotia nia endeleeni kujitokeza katika majimbo kwakufuata miongozo ya vyama vyenu bila kusombwa na propaganda za ccm.
Mkuu sijaelewa vyema. Kwamba wajumbe wa mkutano mkuu wa CUF, wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CDM, wajumbe wa mkutano mkuu wa NCCR na wajumbe wa mkutano mkuu wa NLD watakutana pamoja kumchagua mgombea Urais wa UKAWA. Idadi yao kwa kila chama inalingana kweli? Kwa sababu naona wale ambao watakuwa na wajumbe wengi wa mkutano mkuu wataweza kumpitisha mgombea toka chama chao. Hii mtaifanyaje ili iwe na uwakilishi sawa kwenye huo mkutano mkuu wa mikutano mikuu ya vyama?
 
Leo kumezuka taarifa katika magazeti kuwa UKAWA wamegawana majimbo 211 na bado majumbo 18,

Taarifa hiyo sio ya kweli, ni taarifa yenye lengo la kupotosha umma na kudhalilisha umoja wetu wenye nia ya kumkomboa Mtanzania dhidi ya serikali hii dharimu.

Maadhimio ya wakuu wa Ukawa mwezi jana yalikuwa ni ya pamoja, ambayo ni Vyama vyote vitapendekeze/vitateua wagombea wao wa Urais ambapo CUF itampendekeza mgombea wake, CHADEMA itampendekeza mgombea wake, NLD itampendekeza mgombea wake na NCCR MAGEUZI itampendekeza mgombea wake pia,

Kisha wagombea wote watakutanishwa na kamati kuu/wajumbe wa mkutano mkuu wa vyama vyote kwapamoja watamchagua mgombea mmoja atakaye gombea kupitia UKAWA.

Vivyo hivyo kwenye ubunge, vyama vimeruhusu watia ni wao wajitokeze kuutangazia umma kuwania majimbo,

Hatua za kumpata mgombea wa jimbo kuputia UKAWA ni sawa na zilezile zinazotumika kumpata mgombea urais. Labda pale ambapo kuna ufuasi wa chama kimoja tu basi vyama vingine vitaunga mkono tu.

Sasa propaganda zinazoendelea zinatoka mtaa wa saba kwa majoka yenye makengeza, Makamanda kuweni makini msiyumbishwe na uzandiki huo wa ccm.

Wale mnaotia nia endeleeni kujitokeza katika majimbo kwakufuata miongozo ya vyama vyenu bila kusombwa na propaganda za ccm.

Kwa upande wetu wa Zanzibar yy ataesimamishwa kwa tkt ukawa ss tutamchagua,huku mgombea wa ukawa ajue anamtaji wake bila y pingamizi.
 
La uhakika ni kuwa ma jimbo yamesha gawanywa, wewe sio msemaji wa ukawa, hata hapa kuna wachangiaji walio karibu na viongozi wa vyama vinavyo ungana katika ukawa na wametuhakikishia huo mgawanyo.liko tatizo kati ya NCCR na cdm kwenye ma jimbo yao. Ndugu Yerico habari zako haziaminiki tena ile tabia ya copy past imekuvunjia heshima. One can never trust a culprit
But innocent people we trust him.

swissme
 
nilijua tu .mtanzania liko on special mission kuivunja Chadema
 
Tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi Tz 1992 mkoa wa Kigoma umekuwa ni moja ya nguzo imara kabisa za siasa za upinzani,huku mkoa huu ukisifika kutoa wabunge na wanaharakati watetezi wa wanyonge wa maana.
Siasa za mkoa wa Kigoma mara nyingine zinachanganya,kwani wakzi wake mara zingine wamekuwa wafuasi wa mtu na si chama,unaweza shangaa kwamba wabunge wa upinzani 2010 maslani wabunge kupitia NCCR mageuzi walishinda huku chama chao kikiwa hakina wanachama wa kutosha,hakijaa enea jimbo zima na pia kikiwa hakina uongozi thabiti kulinganisha na vyama vingine kama CHADEMA na CCM,
Msingi wa maamuzi ya wananchi kuamua kuchagua wabunge wa upinzani kutoka NCCR ,ni makosa yaliyofanywa na vyama vya CDM na CCM katika kuteua wagombea ubunge wao,ilikuwa imezoeleka kwamba chama ngazi ya wilaya kuteua mgombea anaekubalika bt ngazi ya taifa kuleta jina tofauti,na hii ilitoa mwanya kwa chama kilichokuwa kimepotea kwenye siasa za mkoa wa Kigoma NCCR kushika hatamu,ikumbukwe NCCR ilikuwa imebakia Kasulu vijijini kwa Mama Buyogela,lakini kutokana na makosa ya kimkakati kwa vyama vyote vya CDM na CCM euther kutowapa fursa wagombea wanaokubalika,ama wagombea wenyewe kunulika kutoka CDM maslani na kujiunga na NCCR,ni ukweli ulio wazi,kwamba wabunge wote wa mkoa wa Kigoma ni zao la CDM kasoro Kasulu vijijini kwa mama Buyogela,unapomuongelea Serukamba,Kafulila,Machali na Mkosamali hawa wote ni zao la CDM walikimbia CDM kwa sababu mbalimbali,na ni uhakika walishinda nafasi zao kwakuwa walipambanishwa na wagombea dhaifu kutoka vyama vya CDM na CCM,na huku wengine wakichaguliwa na wananchi kwa kuwalaghai kwamba bado wapo CDM,

Mara tu baada ya uchaguzi mkuu 2010,viongozi wa CDM mkoa wa Kigoma walijipanga kuhakikisha wanashinda viti vingi vya udiwani na ubunge kwa maana waliamini ni makosa madogo ndo yaliwapoka usbindi 2010,wamekuwa wakikijenga chama katika hali ngumu hasa baada ya mwanasiasa aliyekuwa anajiona ana nguvu kubwa mkoani Kigoma na taifa ndugu Zitto Kabwe kukitelekeza chama na kuamua either kuhujumu ama kujijenga yeye binafsi,
Katika mda wote huo viongozi wa CDM na wanachama wake walikitumikia na kukijenga chama hata pale sakata la Zzk kutikisa mkoa wa Kigoma,walipambana hadharani dhidi ya propaganda za kijivu na nyeusi juu ya sakata la Zzk,walitoa elimu na wananchi wakawaelewa,na kukubari kukiunga mkono chama huku baadhi ya viongozi na wabunge wa NCCR kabla ya UKAWA wakilitumia sakata la Zzk kuihujumu CDM kwani waliungana na CCM kusambaza propaganda za ukabila,katika hili nina ushahidi,

Tuje kwenye UKAWA,ni jambo jema sana kwa wapinzani kuungana,kimekuwa kilio cha wapenda mabadiriko wengi huku wengine wakifunga na kuomba muungano huo udumu,na kamwe usivunjike,naamini kila chama ndani ya UKAWA kina maslahi na kingependa kiongoze bt kwa maslahi ya umma vyama vypte vitapoteza sehemu na kupata pengine,
Kwa sasa vyama vyote vya UKAWA vinajiandaa na uchaguzi mkuu,kila chama kikiwa tayari na watia nia wake wa ngazi mbalimbali,na huku vingozi na wanachama wa vyama hivyo wakitambua mchakato wa kumpata mgombea Ubunge/Udiwani ni kura ya maoni,binfsi leo nimeshitushwa sana na habari iliyotolewa na gazeti la mtanzani juu ya ugawanaji majimbo,hapa naomba niweke wazi,kwamba either hiyo habari iwe ya kweli ama propaganda,bt kimsingi ni ukosefu wa tafiti imara kuamini kwamba mkoa mzima wa Kigoma NCCR inawafuasi wengi na mizizi kuliko CDM,huo ni upofu,
Kwa jinsi mgawanyo wa majimbo ulivyokuwa umeelezewa na mtanzania naliona tatzo kubwa sana hapa ,na si kwa mkoa wa Kigoma pekee bali Tz nzima,

Maslani leo habari iliyotolewa na mtanzania imewakanganya sana wanaCDM hapa Kigoma na mikoa mingine,kwani wao waliamini na wanaamini kwamba kura ya maoni itakuwepo kuwapata wagombea,sasa kitendo cha kusema majimbo fulani wanaachiwa NCCR ama CUF bila kuangalia matokeo ya uchaguzi wa mitaa 2014 hilo ni kosa,maslani mkoani hapa,kwenye uchaguzi huo wa mitaa CDM ilishinda mitaa mingi kuliko chama chochote cha upinzani,CDM ilipata viti vingi maeneo yote yaliyokuwa na wabunge wa NCCR na pale walipoachiwa NCCR kama makubaliano ya UKAWA,NCCR walipoteza vibaya, sasa hizo takwimu kwamba mkoa mzima wa Kigoma ni NCCR sijajua hiyo kamati ya UKAWA imetumia vigezo gani na imepita majimbo gani,binafsi hapa jimboni sijaiona,

Kama mtazamo wa CDM taifa ndo huo,hakika watakuwa wametukosea sana wanaKigoma,kusema kati ya majimbo 8 mkoa mzima kwamba CDM ibakie na mawili tu,tena yapo ambapo ndipo kuna chimbuko la siasa za udini,ukanda na ukabila,huu ndo ulikiwa wakati mwafaka wa CDM kupambana na CCM na matawi yake hapa Kigoma,hususani tawi la CCM kupitia ACT-Kigoma.
Kamwe siamini katika utaratibu wa vyama kuachiwa majimbo kwa hoja nyepesi kwamba kutazama matokeo ya mwaka 2010 na wabunge waliopo,vpi kama mbunge aliopo hakubariki na wananchi hawamtaki ?ataachwa tu kwa kuwa yeye ni mbunge?solution hapa ni kura za maoni ,kuzingatia matokeo ya local government na wingi wa wanachama eneo husika.

Kwa wabunge waliopo sasa wa NCCR hapa Kg ni ngumu kushinda hata kama kuna UKAWA,kwa hili napendekeza tume ipite kila jimbo na ichukue maoni ya wananchi wasio na vyama,

CDM kama itaamua kuwaachia NCCR majimbo yote 6 ya mkoa wa Kigoma ni wazi kwamba wanakwenda kuifuta CDM mkoani hapa,kwani kutakuwa na vyama vya ACT ambayo inawekeza sana Kigoma,na NCCR ambao watakuwa wamzrahisishiwa kazi ya kujiimarisha,japo ni kazi iliyowashinda kwa kwa miaka 5 iliyopita that y wamepata viti vichache wakati wana wabunge na rasilimali fedha,kwani hakuna jimbo lolote hapa mkoani NCCR imepata viti zaidi ya 6.
Natambua malengo bora ya UKAWA ni kushika dora ambapo naamini fursa aitapatikana mbali na ubunge,bt kabla hawajagawana na kusema wabunge waliopo waachiwe ,inabidi wafanye tafti za kutosha ,na hii ni kwa wabunge wa vyama vyote,kwani wapo wabunge wengi wa sasa wa UKAWA hawakubariki majimboni mwao.
Kwa hapa Kigoma majimbo ambayo CDM anauhakika wa kushinda kwa urahisi bila msuri mkubwa ni majimbo ya Buyungu la Christofa Chiza,Muhambwe,Kasulu mjini,Manyovu -Buhigwe na Kigoma kaskazini.majimbo haya kabla hawajaamua kuwaachia chama flani waje kwenye majimbo husika na wafanye tafiti nyingine.

Nimalizie kwa kusema,mimi ni.mwanaCDM damu na mwenye kuutakia mema UKAWA,bt kama viongozi wetu hawatakuwa makini katika kuamua,hakika wataua baadhi ya vyama vyao(uponzani)maslani nchi nzima CDM kila jimbo ilikuwa na watia nia zaidi ya 5,ambao kwa mda mrefu wamekitumikia chama kwa uaminifu mkubwa,wametumia mda wao na gharama zao wakoamini watapewa fursa ya kugombea kupitia CDM,leo uwaambia waachieni vyama fulani vya UKAWA ambavyo mda wote havijajijenga,vyama ambavyo ili vishinde vinahtaji sapoti na huruma za wanaCDM,hakika wale wasiokuwa na moyo wa chuma,wenye kupenda chama kwa dhati na si madaraka,watakihama chama chetu,wengi watakimbilia kwenye vyama vitakavuowapa fursa ya kutimiza ndoto zao za kuwa wabunge na madiwani,
Naomba viongozi wangu walione hili na watapumbua kwa kutaka kuwaachia mkoa mzima NCCRA ni CDM kujifuta huku inajiona, na wakumbuke huku tunapambana na maadui wengi na tunakabiliana na CCM na matawi yake,chama kiwaambie watia nia watanufaikaje?coz ngazi ya urais tumeona mgawanyo mzuri,kwamba rais akitoka chama flani basi makamu na waziri flani atatoka chama kingine,vpi huku chini?tuongeze umakini ili CCM wasipige risasi moja na kuuwa upinzani coz tumeunganishana.,nachukulia habari ya jana ya gazeti la mtanzania ilikuwa ni mzaha uliolenga kuuza,the big the name,the big story,

(Kamwe siwezi kuwa adui kwa kusema ukweli)
 
mkuu weka rekodi zako sawa: mh. Peter Joseph Serukamba hajawahi kuwa CHADEMA na kisha kukimbilia CCM.
Kwamba watu wamejijenga majimboni na sasa UKAWA inakuja kuwaletea gozigozi, nadhani kuna ukweli ndani yake. Kuna vyama vitajijenga kupitia UKAWA kwa maana kwamba kuna watu ambao walitegemea kuteuliwa na vyama vyao na kama hawatateuliwa na vyama vyao ndani ya UKAWA basi watautafuta ubunge kupitia vyama vingine
 
hapa ndo inapokosewa,kwamba unajenga chama kwa lengo la kuwa kiongozi!!inawezekanaje wote tukawa viongozi
 
Uchaguzi wa kugawana majimbo ndio kifo cha Ukawa kitakapotokea, Lipumba kashatangaza nia ya kugombea urais,
 
uchaguzi wa kugawana majimbo ndio kifo cha ukawa kitakapotokea, lipumba kashatanbaza nia ya kugombea urais,

kila chama ndani ya ukawa kimepewa fursa ya kuteua mgombea urais. Lipumba ameanza kwa tkt ya cuf na vyama vingine vitafuatia hii haina tatizo. Tatizo lililopo sasa ni jinsi ya kuizika hii chama mbofu ccm. Na tayari tumeanza na serikali za mitaa. Wewe bakia humohumo ccm tukikukuta na wewe tunakuzika pamoja tena wala huoshwi utazikwa hivyohivyo.
 
mkuu weka rekodi zako sawa: mh. Peter Joseph Serukamba hajawahi kuwa CHADEMA na kisha kukimbilia CCM.
Kwamba watu wamejijenga majimboni na sasa UKAWA inakuja kuwaletea gozigozi, nadhani kuna ukweli ndani yake. Kuna vyama vitajijenga kupitia UKAWA kwa maana kwamba kuna watu ambao walitegemea kuteuliwa na vyama vyao na kama hawatateuliwa na vyama vyao ndani ya UKAWA basi watautafuta ubunge kupitia vyama vingine

KAMA VILE MTAKAOWAPIGA KIBUTI CCM NAO WATATAFUTA VYAMA M'BADALA ILI WAPATE HIYO NAFASI. KWA TAARIFA YAKO lowasa AMESHAKOMBA WABUNGE 150 WA CCM ATAKAOONGOZANA NAO ACT. STAY TUNE!!
 
kila chama ndani ya ukawa kimepewa fursa ya kuteua mgombea urais. Lipumba ameanza kwa tkt ya cuf na vyama vingine vitafuatia hii haina tatizo. Tatizo lililopo sasa ni jinsi ya kuizika hii chama mbofu ccm. Na tayari tumeanza na serikali za mitaa. Wewe bakia humohumo ccm tukikukuta na wewe tunakuzika pamoja tena wala huoshwi utazikwa hivyohivyo.

Ha ha ha kwa hiyo hao wajumbe watakaochagua mgombea wa Ukawa watakuwa sawa kutoka vyama vyote? Au wa Chadema watakuwa wengi mpate mteremko. Mnafikiri Cuf ni wajinga watakubali wajumbe wa chadema wawe wengi?
 
Unatafuta UDAKU AU??
 
Back
Top Bottom