bona
JF-Expert Member
- Nov 6, 2009
- 3,798
- 1,444
mpe hela alafu mtoe sehem za menu nzuri mabaga, pizza , chips nk alafu msikilizie unaweza kuta ni maisha tu home menu hafifu na mawazo kibao ndo yanamnyonya, usifanye maamuz haraka jiridhishe kwanza!!! kama juz ndo umepewa mzigo inaonyesha hauko nae mda mrefu so mpe muda with furaha na menu nzuri anaweza akarud.