Naomba maelezo kwa wale wa udsm je wale waliokuwa washafika walochukua education kwa art subject je wamepata % 50 kama bodi walivyosema au wameongeza % ?
Jaman naomba munisaidie mimi nimechaguliwa udom bachelor of education in special needs nimepatiwa mkopo sh mil 3 laki 2 alfu 27 na mia 5. Nimeshalipa direct cost lakin nimeshindwa kulipa kiwango cha fee kwa kuwa sijajua Asilimia ya mkopo ambayo nitalipiwa na bodi. Ada yangu kwa mwaka ni laki 7
Ahsante mkuu uko sahihi na nashangazwa sana kuitaja zanzibar. Hivi jamani kuna chuo kinaitwa zanzibar? Mtoa mada unavuta bangi chooni then unakuja kwenye jamvi kunanga vyuo. Pumbaf zako huna kazi kanywe kahawa
Ok makole na je vp kuhusu viwanja vya mpira, kipo kimoja kwa chuo kizima au kila college na uwanja wake coz sisi ni wachezaji mashuhuri na ili masomo yawe yanapanda lazima tuwe tunapata zoez la football
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.