¤Sua, Muhas, Kcmc- Makini na Wajanja
Mzumbe- Matajiri na wenye Akili
¤Udsm- Watu wenye sifa mchanganyiko na jamii inawakubali
¤Cbe-dar- Malaya na wasiojiweza kiakili
¤Tumaini, Ardhi- Upeo mdogo wa kufikiri na watoto wa Mama
¤Ruco- Wajinga kwa waliokosa vyuo kabisa
¤Udom- Waliokosa nafasi Udzm na wanaipenda ingawa wanaipondea
¤Sauti,Ustawi, Mwl Nyerere, Muccobs, Cbe-dom- Wasiojua Future Zao
¤Iaa- Wenye uwezo ila walifeli form six
¤Mipango, Zanzibar, St.john, Moro Muslim- Wasiofahamu umuhimu wa elemu, hapa vilaza wamejaa kaa Nyota
¤Lpcuco- Majigambo kibao hamna cha maana kazi kujipraudi tu
¤Ifm- Kwa mademu wa ukweli
mzumbe wanatisha, the ril gentlemen¤Sua, Muhas, Kcmc- Makini na Wajanja
Mzumbe- Matajiri na wenye Akili
¤Udsm- Watu wenye sifa mchanganyiko na jamii inawakubali
¤Cbe-dar- Malaya na wasiojiweza kiakili
¤Tumaini, Ardhi- Upeo mdogo wa kufikiri na watoto wa Mama
¤Ruco- Wajinga kwa waliokosa vyuo kabisa
¤Udom- Waliokosa nafasi Udzm na wanaipenda ingawa wanaipondea
¤Sauti,Ustawi, Mwl Nyerere, Muccobs, Cbe-dom- Wasiojua Future Zao
¤Iaa- Wenye uwezo ila walifeli form six
¤Mipango, Zanzibar, St.john, Moro Muslim- Wasiofahamu umuhimu wa elemu, hapa vilaza wamejaa kaa Nyota
¤Lpcuco- Majigambo kibao hamna cha maana kazi kujipraudi tu
¤Ifm- Kwa mademu wa ukweli
uhuru wa kutoa maoni.Eti Mzumbe ni wenye akili!!! Angalia programu ya MPA/MBA vilaza kibao wanaikimbilia
kweli lakini ila ni upuuzi tu.hii forum siku izi imeingiliwa........yaani imejaa ***** mambo ya facebook zao wanaleta apa......forum imekaa kibongofleva.....mtu unaenda internet cafe(maana huna modem wala computer) badala ya kuutumia muda wako vizuri unakaa kupost ushabiki mandazi......
nilijua utakuwepo hapatoooba!!! ruco na udom,cbe...mh mi sitii neno!!!
umefanyia hii research kwenye gahawa eee¤Sua, Muhas, Kcmc- Makini na Wajanja
Mzumbe- Matajiri na wenye Akili
¤Udsm- Watu wenye sifa mchanganyiko na jamii inawakubali
¤Cbe-dar- Malaya na wasiojiweza kiakili
¤Tumaini, Ardhi- Upeo mdogo wa kufikiri na watoto wa Mama
¤Ruco- Wajinga kwa waliokosa vyuo kabisa
¤Udom- Waliokosa nafasi Udzm na wanaipenda ingawa wanaipondea
¤Sauti,Ustawi, Mwl Nyerere, Muccobs, Cbe-dom- Wasiojua Future Zao
¤Iaa- Wenye uwezo ila walifeli form six
¤Mipango, Zanzibar, St.john, Moro Muslim- Wasiofahamu umuhimu wa elemu, hapa vilaza wamejaa kaa Nyota
¤Lpcuco- Majigambo kibao hamna cha maana kazi kujipraudi tu
¤Ifm- Kwa mademu wa ukweli
¤Sua, Muhas, Kcmc- Makini na Wajanja
Mzumbe- Matajiri na wenye Akili
¤Udsm- Watu wenye sifa mchanganyiko na jamii inawakubali
¤Cbe-dar- Malaya na wasiojiweza kiakili
¤Tumaini, Ardhi- Upeo mdogo wa kufikiri na watoto wa Mama
¤Ruco- Wajinga kwa waliokosa vyuo kabisa
¤Udom- Waliokosa nafasi Udzm na wanaipenda ingawa wanaipondea
¤Sauti,Ustawi, Mwl Nyerere, Muccobs, Cbe-dom- Wasiojua Future Zao
¤Iaa- Wenye uwezo ila walifeli form six
¤Mipango, Zanzibar, St.john, Moro Muslim- Wasiofahamu umuhimu wa elemu, hapa vilaza wamejaa kaa Nyota
¤Lpcuco- Majigambo kibao hamna cha maana kazi kujipraudi tu
¤Ifm- Kwa mademu wa ukweli
HAHAHAHAH ni mawazo tu mkuu..ndo maana nkasema sitii neno!!!nilijua utakuwepo hapa
ni kwanini una tabia ile yakukashfu vyuo still ua educated enough to know watu wanapata elimu na inawasaidia na uhuni au umalaya au tabia mbaya yoyote its so personal issue sio nzuri ile tabia je ukitakja wote warundikane udsm is it rightHAHAHAHAH ni mawazo tu mkuu..ndo maana nkasema sitii neno!!!
Ingekuwa ukisoma chuo fulani unakuwa na guarantee ya kuishi maisha mazuri,ningeona deal.Sasa ukimaliza udsm,saut na CBE wote tunazunguka na bahasha za kaki kwa almost 2 years.Nini sasa cha maana hapo?
mkuu hapo kwenye red hapo.... kwa kweli sina na wala sintakuwa nayo tabia ya kudharau chuo au vyuo..tafaadhal naomba unielewe...una mwawazo na mafunzo mazuri ila naiman umetoa kwa mtu ambaye sio,binafsi nakuunga mkuon..ila lazima uelewe nlichose(...SITII NENO) sina imani sana kama kwa maneno hayo nlikashfu chuo au mwanachuo yeyote!!!..ILA MIMI NI BINADAM EITHER KWA KUJUA AU KUTOJUA NAWEZA MUUDHI MTU AU WATU..NAOMBA UNISAMEHE KAMA NIMEKUUDHI NA SIKUDHAMIRIA KUFANYA HICHO ULICHONIWAZIA...ni kwanini una tabia ile yakukashfu vyuo still ua educated enough to know watu wanapata elimu na inawasaidia na uhuni au umalaya au tabia mbaya yoyote its so personal issue sio nzuri ile tabia je ukitakja wote warundikane udsm is it right
Ahsante mkuu uko sahihi na nashangazwa sana kuitaja zanzibar. Hivi jamani kuna chuo kinaitwa zanzibar? Mtoa mada unavuta bangi chooni then unakuja kwenye jamvi kunanga vyuo. Pumbaf zako huna kazi kanywe kahawa
Vipi kuhusu DIT, Mbeya, Arusha na vingine vilivyosahaulika kwenye list?