Bodi ya Mikopo (HELSB); Hii imekaaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bodi ya Mikopo (HELSB); Hii imekaaje?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Hamisi M, Apr 25, 2011.

 1. H

  Hamisi M Member

  #1
  Apr 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  OLAS- mfumo huu wa kuomba mkopo kwa njia ya mtandao (internet) ni mzuri lakini hamkufanya upembuzi yakinifu kabla ya kuanzisha utaratibu huu kwa sababu zifuatazo;
  <1>% kubwa waTz wanaishi vijijini ambapo huduma za umeme ni tatizo na vijiji vingine hakuna umeme kabisa, je? Vyombo kama COMPUTER & SIM zenye uwezo wa internet vitaendeshwa na nini wakati umeme hakuna na hata mafuta kwa ajili ya kuendeshea jenereta yamekua ni kwaajili ya vibopa na si watoto wa masikini
  <2>mnaelewa wazi kuwa huduma za internet nchini mwetu bado zipo chini mno na si kila eneo unaweza kupata kupata huduma hizo mpaka uwende kwenye vibanda vya internet cafe ambavyo si kila eneo vinapatikana na si watu wote wanmiliki sim zenye uwezo wa internet.
  Ukweli ni kwamb wahitaji wengi wa kujaza form hizi wako vijijini, kitu ambacho itawawia vigum kukamilisha zoezi hili. Kwakuwa baadhi ya form hujazwa na kutumwa kwa njia ya post, basi na wale ambao wanaona njia hii ya internet inawawia vigum wangeruhusiwa kujaza form na kuzitma ktk utaratibu uliokuwa unatumika hapo awali.
  Ni hayo tu.
  WITO KWENU; ugawaji wa viwango vya mikopo (mean test) uwe wa haki na usawa na mikopo itolewe kwa wakati ili kuepusha migomo na matatizo mengine vyuoni, na pia itasaidia watoto wa wakulima ambao ni wadogo zake PINDA kusoma vizuri badala ya kuwaza njuluku ya punga na maharagwe ya mamantiliye wa Ubungo UDSM, Nyamarango SAUT, Usariva UOA, nk  .
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  hii ndio itakuwa catalyist yao kujua internet
   
 3. H

  Hamisi M Member

  #3
  Apr 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu mazingira kama nilivyoeleza hapo juu si rafiki kwa internet, na wanafunzi wao kama wao hawana uwezo wa kutatua tatizo hili ispokuwa SIRIKALI. Je? Itakuwa katalyst ya kupelekea watoto wa masikini wasisome au vp?
   
 4. i

  issah omary New Member

  #4
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nadhani umefika muda wa kwa serikali yetu kufanya maamuzi kwa manufaa ya watanzania na sio kuwakomoa watanzania kwa kuanzisha utaratibu unaowatesa watanzania wa maeneo ya vijijini
   
 5. k

  king roja Senior Member

  #5
  Aug 28, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni true mkuu. You are great thinker. Very good
   
 6. pitbull

  pitbull JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 579
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  Kwa hiyo unatakaje we kilaza?
   
 7. D

  Disgusted Member

  #7
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ajabu kweli watu wengine wana mawazo ya kijima kweli. Wakati dunia nzima inakwenda high-tech, huyu bwana anataka maform ya hardcopies. Tupishe tupite.
   
 8. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  nani kakwambia PINDA ni mtoto wa mkulima saivi kaka
   
 9. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #9
  Aug 29, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  hahaha unataka tutme posta eeh?kweli wewe ni mbovu wa kufikiri
   
Loading...