Recent content by KinG Modric

  1. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya Bajaji Tanzania

    Bajaji mpya ni milion 7.250,bila bima,
  2. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru awashangaa wapenda ‘Kazi na Bata’. Asema kauli hiyo inachangia kuzorotesha Uchumi

    Wivu tu dr Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    JamiiForums Tanzania Bajaji Tvs King Inauzwa

    Bajaji ipo katika hali nzuri kabisa, imetunzwa. Injini ipo Moto, hajaguzwa Ipo barabarani inafanya kazi Vibali vyote halali vipo Bei Tsh 3.4 Million Maongezi yapo Ipo Korogwe -Tanga Piga 0755-100118 Sent using Jamii Forums mobile app
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa siamini kama mtu anaweza park gari kwa kukosa mafuta, yamenikuta!

    Hapo bado hajafa vipuli,utaipaki mpka mwaka mmoja
  5. K

    JamiiForums Tanzania Waziri ndalichako fuatilia hawa mwalimu Gunda na kabole wa korogwe chuo cha ualimu

    Mim ndio mkuu wa chuo hapa korogwe,unapaswa kuwasilisha taarifa kwenye ngazi husika,hiv nakusihi ufike ofisin kwangu ulete hayo malalamiko
  6. K

    JamiiForums Tanzania Waswahili ni watu wa hovyo sana, jamaa yangu kafanya jambo la kipuuzi

    Hii gari nimekutana nayo korogwe tanga mda wa saa 10 jion
  7. K

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

    Hili nalo linapaswa kutizwa kwa jicho la pili..kutakuja kutokea teja anaenda kuchukua mafuta yaliobaki akiwa Na sigira mdomon hapo balaa ndio linafuata
  8. K

    JamiiForums Tanzania ndugu zangu upande wa pili, haya mnaambiwa au mnajiongeza!?

    Kila mtu anaridhiki yake duniani..unaweza ukawa hauna kitu ndani lakin ukaamua kuoa mke,baadae Mke akawamzalishaji mkubwa ndani ya familia.. Mkajikuta mnanunua vitu vyote mpaka ambavyo ulikuwa huna. Tusifikiri wanawake hawana ridhiki zao maishani.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi tafadhali: Walinzi wa Rais wanaokuwa na vibegi vinakuwa na nini?

    Yap Ni bullet proof hizo...fuatilia jaribio la kutaka kumuua rais madulo...nenda u tube utaona
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye ujuzi tafadhari anijuze kuhusu loan board

    Habari Wana Jf...naomba kwa alie na ujuzi anasaidie,Leo nilikuwa nafanya application ya Loan board Lakin kila nikiingiza namba ya form four (index number) na ku-cofirm Sipati namba ya Malipo (Controll number)..nimepiga simu board Lakin hawapokei simu kabsa...Mwenye ujuzi tafadhari anijuze...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Watumishi kama hawa ndio wanaopaswa kuzingatiwa katika fursa mbalimbali kama Motisha

    Hii shule ina dahiri wanafunzi...wenye division 1 tu...na mwenye combination za point 3 kwanini wasifanye vizuri??? Kuna vitu vingine sio vya kusifia sana
  12. K

    JamiiForums Tanzania NATOA HUDUMA YA KUOMBEA MKOPO HESLB

    Mi nataka nipate 100%,utanisaidia nipate??
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mfungwa ajiua kwa kujikata mshipa wa fahamu akiwa gerezani

    Bwana jera ana kesi ya kujibu..sio rahisi mtu kujikata wembe kirahi hivyo. Huenda Bwana jela aliweka mikono yke pale,pia kwa nn akatae taarifa za kidaktar juu ya binadam mwenzake??achunguzwe
  14. K

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mume mbaroni kwa akituhumiwa kumuua aliyemfumania na mke wake

    Kesi imeisha..mwisho wa siku utasikia “mtuhumiwa alitenda kosa akiwa bila kikusudia au hakuwa katika hali ya kawaida kipindi akitenda kosa” Kesho kutwa tu atarudi mtaani..ila njema ime r.i.p
  15. K

    JamiiForums Tanzania Rais Trump alitaka kuishambulia Iran, ghafla akasitisha mpango huo

    Hapa nakuunga mkono,unajua wabongo wengi wanashani Iran itasimama pekee yake katika vita la hasha..kuna nchi kama north Korea,urusi,China Na uturuki,hawa wanamnga mkono Irani.
Back
Top Bottom