NATOA HUDUMA YA KUOMBEA MKOPO HESLB

Zambotti

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
1,961
3,592
Hii iwaendee wale wote wanaohusika na jukumu zito la kuomba mkopo wa masomo katika bodi ya mkopo ya elimu ya juu.

Kwa maombi ya uhakika na zoezi lisilokuwa na mashaka niko hapa kwa ajili ya jukumu hilo ili kutoa msaada kwa ndugu zetu wahusika.

kama wewe ni muhitaji naomba unitafute kwa namba 0673107645

Zoezi`hili naweza kulifanya mahali popote ulipo kwa wakazi wa Dar es salaam
 
@
Zambotti
bado sijakuelewa ungetueleza kiupana mdau
 
Hii iwaendee wale wote wanaohusika na jukumu zito la kuomba mkopo wa masomo katika bodi ya mkopo ya elimu ya juu.

Kwa maombi ya uhakika na zoezi lisilokuwa na mashaka niko hapa kwa ajili ya jukumu hilo ili kutoa msaada kwa ndugu zetu wahusika.

kama wewe ni muhitaji naomba unitafute kwa namba 0673107645

Zoezi`hili naweza kulifanya mahali popote ulipo kwa wakazi wa Dar es salaam
Mkuu unatusaidiaje
 
Màna kama nawaona ambavyo mnaliwa pesa kwenye stationaries kwa muda kuenda kutokana na kuattach picha
 
Huduma bado inaendelea, kwa wale wahitaji tafadhali endelea kunitafuta kwa 0673107645 naweza kukufuata popote ulipo ukiwa ndani ya mji wa Dar es salaam nafanya kazi na kukukabidhi form zako papo hapo
 
Kwa wale ambao bado hamjapata fomu za maombi ya mkopo endeleeni kunitafuta kwa namba 0673107645
 
Kama unakwama popote katika maombi yako ya mkopo au kuomba chuo kwa wale wa nacte tafadhali unaweza kunitafuta kwa namba hii 0673107645
 
Ninaswali, hv mfano hawa form6 waliomaliza juzi matokeo bado, sehemu ya kujaza matokeo ya kidato cha 6 watajaza nini??? Na kwa mtu ambae labda uwezekano wa kukipata cheti ni mgumu kutokana na madeni shule aliyomqliza anaweza kujaza copy ya result slip au inakaaje??
 
Kama umemaliza mwaka huu form 6 acha kama palivyo sio lazima
 
Back
Top Bottom