Shinyanga: Mume mbaroni kwa akituhumiwa kumuua aliyemfumania na mke wake

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Mkazi wa Mhunze wilayani Kishapu mkoani Shinyanga Rafael Martine (34) anashikililiwa na Jeshi la polisi kwa Tuhuma ya kumuua Shija Mahoiga (45) mkazi wa kijiji cha Igaga kwa kutumia kipande cha chuma baada ya kumfumania akiwa amelala na mkewe.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Shinyanga (ACP) Richard Abwao amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambalo limetokea june 21 majira saa tatu usiku nyumbani kwa Marehemu ambapo Rafael anatuhumumiwa kumshabulia kwa kumpika katika sehemu mbalimbali na kusababisha kifo.

Amefafanua kuwa chanzo cha tukio hilo ni wivu wa kimapenzi ambapo Rafaeli alivunja Mlango nyumba ya marehemu na kuanza kuwashambulia wawili hao hadi kusababisha kifo cha Marehemu huku mkewe aliyefahamika kwa jina la Maria Shija akiwa amelazwa katika hospitali ya wilaya ya kishapu kwa matibabu.

Kamanda Abwao ametoa wito kwa watu mkoani humo kutojichukulia sheria mkononi kwa kuheshimu sheria za nchi na na baada ya upelelezi mtuhumiwa atafikishwa mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili.
 
Mshahara wa dhambi ni mauti!
 
Kesi imeisha..mwisho wa siku utasikia “mtuhumiwa alitenda kosa akiwa bila kikusudia au hakuwa katika hali ya kawaida kipindi akitenda kosa”
Kesho kutwa tu atarudi mtaani..ila njema ime r.i.p
La hasha!
Ingekuwa ni kirahisi hivyo mtaani watu wangeuana kwa kisingizio cha kufumania. Huyo aliyeua lazima aende jela huku mke aliyesababisha atabaki mtaani na atatafunwa sawasawa.
 
Ni kitu cha kushangaza Mkuu. Pamoja na kuumia kwa kugongewa lakini adhabu si umauti. Si ajabu wana watoto wadogo ambao hawatakuwa na mama na Baba kipindi kirefu kijacho au hata milele kwani hukumu yake inaweza kuwa kifungo cha maisha au kunyongwa. Majuto ni MJUKUU.

Na hiyo ndo adhabu alostahili marehemu, kwani wanawake wameisha aoe wake!!?
 
Sasa hapo yeye kuwa gerezani huyo mkewe ndiyo ataliwa freely na atahakikisha anagawa kijiji kizima mpaka na kwa ndugu wa huyo jamaa, kwanini asingemuacha tu na kuchukua mwingine wakati wanawake wapo kibao.
Hasira za mkizi hivyo atanyea ndoo kwa miaka kadhaa, angefiri kwanza asingefanya ujinga ule.
Japo sikubaliani na mambo ya kugonga wake za watu lakini kuua au kupigana kwa ajili ya mkeo ambaye amemvulia mtu kwa mahaba yake mwenyewe ni upumbavu wa hali ya juu.
Na hiyo ndo adhabu alostahili marehemu, kwani wanawake wameisha aoe wake!!?
 
maria,doris, Mwanaidi,Grace na yule aliyekuwa mwalimu Wa udom nikumbusheni jina..
UNATAKIWA KUWALA KWA UMAKINI
 
Back
Top Bottom