Mwenye ujuzi tafadhari anijuze kuhusu loan board

KinG Modric

Member
Aug 16, 2018
45
43
Habari Wana Jf...naomba kwa alie na ujuzi anasaidie,Leo nilikuwa nafanya application ya Loan board Lakin kila nikiingiza namba ya form four (index number) na ku-cofirm Sipati namba ya Malipo (Controll number)..nimepiga simu board Lakin hawapokei simu kabsa...Mwenye ujuzi tafadhari anijuze.
==========Asanteni=========
 
Back
Top Bottom