Recent content by King khan D

  1. King khan D

    JamiiForums Tanzania Jumba la Wachawi

    lete ingine madame maana tamu sana
  2. King khan D

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Bure: Kutana na miti yenye nguvu kiasili, hutakiwi kwenda kwa Waganga tena

    habari kama hz! dah!! mi nimejuamo miti 6
  3. King khan D

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Vita ya Rushwa haiwagusi/inawakwepa viongozi wa Serikali

    hahaha!!! yanatoka kwa wanachi hvo yanarudisHwa asee! selikar ina sirikari
  4. King khan D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa yangu ina mwezi wa 9 sasa lakini imekuwa ya kutoelewana

    Hahahaha! jaman najua ila sasa unajua uchanga wa ndoa bado inawaka! daa!
  5. King khan D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa yangu ina mwezi wa 9 sasa lakini imekuwa ya kutoelewana

    Na nimemuelewa sana ingawa mi sinaga vimada so nimeelewa sana NYAMUANZI
  6. King khan D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa yangu ina mwezi wa 9 sasa lakini imekuwa ya kutoelewana

    hahaha! jaman hiyo nayo kari maana ni kitim timu.
  7. King khan D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa yangu ina mwezi wa 9 sasa lakini imekuwa ya kutoelewana

    ok sawa ngoja nivumilie sana make huu ni mwez wa 8 tu
  8. King khan D

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Ahadi/Vipaumbele vya Rais Magufuli

    Najua wa vyama pinzani awaoni maendeleo kawaida ko naona kawaida
  9. King khan D

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kifo

    nais yote majibu unayo sema ujajua jinsi ya kuyapata
  10. King khan D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa App ya kusajili line (vodacom)

    sawa na mi naitaji hiyo app nifanyeje
  11. King khan D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa yangu ina mwezi wa 9 sasa lakini imekuwa ya kutoelewana

    WANAJAMVI HABARI ZA MDA HUU.! NAOMBA MNIPE USHAURI WENI MAKE NIMECHOKA KUVUMILIA nimeoa ndoa yangu ina mwezi wa 9 sasa lakini ndoa yangu imekuwa ya kutoelewana. yani mi nacho mwambia mke wang mfano kosa fulani limetokea kwake sasa ile nataka kumwelekeza nakwambia hapo ndo ugomvi unaanzia afu...
  12. King khan D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahari na nafasi yake katika ndoa... Je, utamaduni huu umepitwa na wakati?

    kweli mi naona mfumo huu wa kutoa mahari ni sababu za kitamaduni afrika kwani ambacho ujui hii si afrika tu, hata mabara mengine kwani kuposa ni kawaida sema tu sikuizi vijana tunajichanganya pengine sababu ya kutojua umuhimu wa mahari/posa. maana ya posa wengi wanaichukulia pow tu lakn wew...
  13. King khan D

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    kweli hii ni tanzania
  14. King khan D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni mambo gani ya kuzingatia ukiwa M.C wa hafla mbalimbali?

    haa kwel hata ujaribu kutafiti rugha muhmu za watu unako enda kupiga kazi afu ujue wanatakaje usikurupuke maana uemc. unaitaji ekma na umakini sana
Back
Top Bottom