Msaada wa App ya kusajili line (vodacom)

Tony guy

Senior Member
Sep 29, 2015
107
44
Habari
mm ni wakala wa M-pesa vile vile nasajili line so jana simu yangu ya smarphone (ambayo ndio naitumia kusajili line) nili roboot, na app ya kusajili line ilitoka, mwenye hiyo app ya kusajili line naomba anisaidie aumwenye ushauri nn nifanye, Msaada PLease
 
Mm nnayo APK yake nitumie email yako kwenye pm ntakutumia.... Lakini kwako kilanga sitakutumia maana hyo app inasajuliwa na imei so hata ukiipata hutaweza kupata username na passord. mfano mm nmwenyewe nlisajili app nikiwa natumia samsung s3 now nmehamia s4 inagoma kulog in nmeambiwa mpaka nitoe riport ya kubaadili simu wanibadilishie imei kwenye taarifa zangu. ndipo ntaweza kuitumia
 
Back
Top Bottom