Ndugu pole sna kwa majanga hayo yaliyokukuta. Ushauri wangu kwako ni huu kwanza ni kuwashitaki Mkeo na Madokta wake kwa uongo mkubwa kiasi hicho. Pili maamuzi ya ndoa ni juu yako wewe mwenyewe kuachana naye au kuendelea kuishi naye.
Sijui kwanini soka la bongo halieleweki kiivyo. yaani timu inapofanya vibaya kidogo tu jambo lakwanza ni timua timua. Jamani hata mpira unahitaji uvumilivu wa kutosha ndio tutapata hayo mafanikio vinginevyo tutaishia kuamini kamati za ufundi badala ya kuamini katika Technical bench. Walau Simba...
Leo ni zile mechi za kimataifa ambazo zitazechwa na vigogo vyetu vya soka hapa nchini Tanzania. Yanga itakuwa nyumbani kucheza na Zamalek ya Misri katika kombe la Klabu Bingwa wakati simba itakuwa ugenini huko Rwanda kucheza na Kiyovu. Eee bwana historia haichezi lakini yanga wacheze kama jihadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.