Huyo anajifurahisha. Labda hasomi magazeti. Hata wenye mpira wao kule Brasil wanaangalia EPL. Ligi za Uganda, Kenya na sijui wapi nani anazitaka hapa Bongo? Ligi yetu na EPL ndio mambo yote.
AZAM TV anachokifanya nikutafuta wateja nje ya tz, akichukua leseni ya kuonesha ligi ya uganda, kenya na kwingineko tayari watu wa nchi husika watalazimika kununua king'amuzi cha AZAM TV hivyo suala la coverage atakuwa analimaliza taratibu na DSTV mwenyewe atajiongeza!
Kwan kuna kipi special dstv zaidi ya EPL?
azam tv kakamata ma house girl hadi mabosi watu wapo bz na sinema zetu na african movies hiyo EPL yako nenda vibanda umiza.
Viva azam tv go go!