Recent content by kindege534

  1. kindege534

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya, majina ya walioajiriwa mwaka huu

    asante
  2. kindege534

    JamiiForums Tanzania Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

    Asante ndugu Money Stunna
  3. kindege534

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya, majina ya walioajiriwa mwaka huu

    Heb niangalizie tabibu wa mionzi. (radiotherapists)
  4. kindege534

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Wadau baada ya Hotuba ya Rais Kikwete kwa 'Wazee wa Dar' kuhusu Sakata la Tegeta Escrow

    Kama fedha zilikua za iptl kwanini ziliwekwa escrow acct? Na iyo iptl inamilikiwa na nani?
  5. kindege534

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mnunuzi wa mitiki(Teak wood)

    Nashkuru mheshimiwa..nimejaribu kuwatafuta baadhi yao kwa njia ya posta sijajibiwa mpaka sasa
  6. kindege534

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr. W Slaa
  7. kindege534

    JamiiForums Tanzania Vijana njooni tujikwamue kiuchumi

    Nimeku pm bella girl
  8. kindege534

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

    Unachosema ni kweli kwa asilimia kubwa iko hivyo. Nafkiri labda kwa sababu sisi wanaume tumepewa na Mungu asili ya kutawala-kwaiyo ukilea mtoto wa mwingine nyumbani kwako inakua kama eneo lako la utawala limevamiwa. Utakuta unajiskia vita Vs uyo mtoto wa dume jingine. Sihalalishi vita hiyo...
  9. kindege534

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini hasa sababu kuu ya kupigwa vita tohara kwa wanawake, mbona sijaona athari yeyote?

    Ok kwani mwanamke akitahiriwa anapata faida gani?
  10. kindege534

    JamiiForums Tanzania Napendekeza tumuongezee Kikwete miaka 5

    Kweli kabisa Prof wetu amejitahidi sana kwa mambo mengi, hasa kuthibiti rushwa
  11. kindege534

    JamiiForums Tanzania kutokwa na uchafu mweupe kama mtindi sehemu za siri

    Pole.. Kama hayo majimaji HAYATOI HARUFU MBAYA..inawezekana ikawa ni fangasi hao. Usistuke sana maana huwa inatokea, inasababishwa na kubadilika pH ktk tumbo la uzazi. Una umri gani? Nakushauri Nenda zahanati yyte iliopo karibu
  12. kindege534

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu hichi kipumo Hysterosalpingography

    ni procedure ndogo sana, haina maumivu yoyote zaid ya discomfort kidogo kwa mgonjwa. Wanaweka contrast ktk mijira ya uzazi kwa kupitia shingo ya kizazi kwa kutumia kifaa maalum na lubricant kisha wanapiga picha ya X-ray kuonyesha mirija kama ina uvimbe au ipo sawa. Inafanyika kwa usafi wa...
  13. kindege534

    JamiiForums Tanzania Mtoto analia sana nyakati za usiku

    Ha ha ha ha
  14. kindege534

    JamiiForums Tanzania Natokwa na maji ya kuteleza yenye rangi ya damu sehemu za siri

    Ayo majimaji yangekua na vibonge bonge vyeupe, ningekushauri vingine. Lakin kwakuwa umesema yana vibonge vya damu inanipa shaka kdg. Ila unafuu wake ni kwamba hakuna harufu mbaya. Harufu ingekuwepo tungesema mengine pia.
  15. kindege534

    JamiiForums Tanzania Natokwa na maji ya kuteleza yenye rangi ya damu sehemu za siri

    ok nakushauri baada ya siku 5, iyo hali isipoisha-uende hospital kwa vipimo. Acha kuvulia wanaume chupi hovyo hovyo. Umeanza mapema hivi na unaujasiri ukifika miaka 22 utakuaje? Take care sex sio fashion
Back
Top Bottom