Huna tofauti na mtu anayekaa bila kufanya kazi akiamini Mungu ni mwema atampa chakula. Umefilisika mawazo kweli, unawatisha watanzania ili waendelee kufa njaa nyie mkineemeka. SAHAU
Hizo ni ndoto tu jamani muacheni akiamka toka usingizini atakumbuka yuko r-chuga na hayo yote anayoyaongea atasahau kama sio kuyakana. Arusha mwendo ni mmoja mpaka kitaeleweka tu hakuna magamba hapa kuingia.
Huna jipya umemuona Nassary tu? Hakuna asiyetereza. Inawezekana hata wewe mwenyewe ukawa na matatizo zaidi yake isitoshe wakati anazungumzia hilo hakuwa anamaanisha kujigawa, tatizo ni habari umbea na udaku tu.
Hongera kamanda J. Nassary watu walikuwa wanasubiri sana ule kiapo leo cha ushindi zidi la kundi la bweha, fisi na mbwa mwitu uliowagaragaza tar.1. kazi ni moja mapambano
We umetumwa na magamba suala la mpango mji wa arusha limetokana na uzembe wa viongozi wa ccm, pili yeye kama mbunge hawezi kukubali wananchi wake wavunjiwe nyumba kwa ajili ya upanuzi wa barabara bila fidia inayoendana na gharama za maisha sasa, japo uwajibikaji unaonekana. Ajira za kiuwaji...
Kwa hali halisi ilivyo arumeru NASARY bado anakubalika na walio wengi kupeperusha bendera ya CDM. Nafikiri huu haukuwa wakati wa kutafuta mgombea mwingine ambaye atatupa wakati mgumu kuanza kumtambulisha na muda wenyewe hauruhusu kubwa ni kukubaliana nae kwani jitihada za kuchukua jimbo...
Toka chaguzi za arusha zimefanyika ni mtu gani wa ccm ulishasikia amekamatwa na t*k*k kwa rushwa zaidi ya jitihada za vijana shupavu na makini wa CDM kupambana wenyewe, kumbuka kipindi cha uchaguzi uliopita upate uzoefu wa rushwa na ccm.
Kwa kweli ni dhahiri kabisa ya kuwa tulipofikia ni pabaya watu hawana hofu ya Mungu kabisa, lakini ikumbukwe ya kuwa hakuna masika........... Pole sana Dr. Mwakyembe hata wananchi tunaamini maneno ya kinywa chako ndio yenye ukweli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.