Ubadhilifu mkubwa wa viwanja unaofanywa na Chadema Jiji la Mwanza

Kwa hiyo Chadema nao wanapata Excuse ya kujigawia viwanja.
 
Wanabodi,

Wakazi wa Jiji la Mwanza wanalalamika ugawaji wa ardhi unaofanywa na Halmashauri ya Jiji la Mwanza watendaji wa Halamashauri wakishirikiana na madiwani wa Chadema ambao ndio wengi kwenye baraza la madiwani.

Wananchi wa Mwanza wanalalamikia ubadhilifu wanaofanywa na madiwani wa Chadema kujigawia viwanja maeneo ya Kiseke, Nyegezi, Bugarika, na sehemu tofauti tofauti katika Jiji la Mwanza.

Wananchi wa Mwanza walipeleka malalamiko yao kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipofanya ziara katika Jiji la Mwanza, Waziri Mkuu aliwambia wakazi wa Mwanza malalamiko yao wanatakiwa wayapeleke kwa chama cha Chadema, ambacho kina dhamana ya kuendesha Halmashauri hiyo, ambao Chadema wana nafasi ya Meya hadi madiwani

Wananchi wa Mwanza wanalalamika unafanyiwa utapeli na Halamashauri ya Jiji la Mwanza viwanja hawapewi pamoja na kuwa wameishavilipia pesa lakini viwanja hivyo vipo mikononi mwa madiwani wa Chadema.

Ritz, kati ya watu ambao wanatumia muda mwingi kuiponda CDM na kutetea mfumo mbaya wa kiutawala ulioasisiwa na CCM, hakika unaongoza. Mara nyingi najuliza unafaidikahe na mfumo huu? ndugu zako je wanafaidikaje?

Najua fika kuwa unafahamu kwamba baraza la madiwani linaweza kuidhinisha ugawaji wa viwanja lakini kazi ya kupima na kugawa hivyo viwanja ni ya wataalam, ni ya mkurugenzi aliyewekwa na CCM. Wataalam hawa wanatakiwa watoe mrejesho wa utekelezaji wa viwanja hivyo kwa baraza na hujatuambia kama mrejesho tayari umefanyika

Ritz, jaribu kuipenda nchi yako, jaribu kuwapenda ndugu zako, jaribu kuwapenda watanzania pamoja na umasikini walionao.
 
Kama kuna mtu anafahamu utaratibu uliowekwa na serikali ni namna gani viwanja vinagawiwa atueleze humu jamvini. Nijuavyo uuzaji wa viwanja ni sehemu ya halmashauri kujipatia kipato, viwanja vunaingizwa sokoni mwenye hela ananunua hata akitaka 20,. pesa mbele, ndio maana majina ya wenye pesa yanaonekana kwa wingi. Kama kiwanja kimoja kinauzwa mi. 3. unategemea walala hoi wangapi watavinunua? Kila mara nasikia matangazo Kibaha viwanja vinauzwa mbona havinunuliwi vikaisha? Kwa maana hiyo mwenye pesa akitaka viwanja 5 asiuziwe?
 
Ded hana mamlaka juu ya madiwani ukizingatia madiwani wa chadema walimtishia maisha ili wao wapate viwanja vingi hakuwa na jinsi zaidi ya kuwaamuru maafisa ardhi kuwapa tena hawajalipia hata senti aibu kwa wanaojifanya wapinga ufisadi
 
hivi kwanini CDM hua hawataki kuambiwa ukweli hata siku moja,nyie sio malaika ni binadamu thatswhy mnamapungufu yenu pia kubalini na kufanyia kazi mapungufu
 
CCM kweli wameishiwa hoja!
Yaani PM Pinda anataka kuwahadaa Watanzania kwa cheap propaganda kama hizi kweli? PM Pinda anataka tukubaliane naye kwamba madiwani wa CDM ndiyo wanapima viwanja, wanagawa na wanauza kwa Wananchi kama wanavyotaka wao! It's doesn't make any sense!! Kama madiwani wa CDM wanafanya haya yote,wale wenzao wa CCM wanakuwa wapi na wanafanya nini???Nijuavyo Halmashauri ya Jiji la Mwanza inaundwa na madiwani mchanganyiko(CDM na CCM).

Tunajua katika Miji/Halmashauri na Majiji kuna ofisi za Ardhi(Mipango miji),Mhandishi wa Jiji,Kitengo cha Upimaji na Ramani na kuna Kamati za Ugawaji wa Viwanja. Iweje madiwani wa CDM wafanye ufisadi huu wote bila ya wenzao wa CCM kuchukua hatua???

Hata hao wananchi wa Jiji la Mwanza kwanini wanakubali kununua viwanja kutoka diwani wa CDM???Je,ofisi za PCCB jiji la Mwanza zimeshafungwa??Pinda hapa amechemsha! Atafute uongo mwingine lakini siyo huu!!!Huu ni uongo mweupe ambao hata mjinga anaweza kung'amua.

Pole sana Pinda, ndiyo maana watu wa MZA waliamua kumzomea na kweli alistahili kuzomewa! Pambaf kabisa.
 
Ninachofikiri ni kwamba huweza magamba walitaka kujilimbikizia hivyo viwanja kama kawaida yao sasa wanaposhindwa wanatengeneza zengwe.
 
hivi kwanini CDM hua hawataki kuambiwa ukweli hata siku moja,nyie sio malaika ni binadamu thatswhy mnamapungufu yenu pia kubalini na kufanyia kazi mapungufu

Hivi huu nao ni 'ukweli ??'
Ukisoma tu jamaa alivyoandika utaona kuwa ni story ya kupatia allowance.
Jiulize, Madiwani wa Chadema washutumiwe kwa 'ubadhilifu mkubwa wa viwanja' halafu waziri mkuu Pinda apate taarifa asichukue hatua !! Mkuu wa mkoa ajue asichukue hatua !!
Hii ina maana Chadema wako huru kufanya ubadhilifu mkubwa bila hofu ya serikali !!!
Basi, hii ina maana hakuna serikali, yaani ubadhilifu nje-nje !!!
Hivi wewe fergusonema ni Great Thinkers kweli ???
 
Kwa hiyo Chadema nao wanapata Excuse ya kujigawia viwanja.

Chadema wajigawie viwanja,
CCM Mwanza ipo, isipige kelele !!
Pinda kaambiwa, kapotezea !!!
Mkuu wa Mkoa yupo, kalala usingizi fofofo wakati jamaa wa Chadema wachukua viwanja kitapeli !!!
Duh,
Basi haina haja ya kungoja mwaka 2015, Chadema tayari wanatawala !!
 
UFISADI mkubwa wa madiwani wa CHADEMA wakishirikiana na watendaji wa halmashauri husika. Pongezi kwa RC wa Kilimanjaro kwa kushitukia ubadhirifu Moshi Mjini

Hapo kwenye blue,
Itabidi waziri mkuu Pinda, na mkuu wa mkoa wa Mwanza waende kwenye ziara ya mafunzo (study tour) kwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.
Huko watajifunza jinsi ya kudhibiti 'ubadhilifu' huu.
Yaani jamaa wa Chadema wafanye ubadhilifu huu mbele ya macho ya CCM, Pinda apate habari, mkuu wa mkoa yupo, na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa ????
Duh, kweli Chadema tayari wanaongoza nchi !!
Upo hapo ???
 
Nani kakwambia Kamati ya kugawa viwanja ni ya CHADEMA? Hivi mauaji ya Mwangosi na utesaji wa Ulimboka ulifanywa na CCM.

Ni vizuri kutoa hoja na siyo haja.
 
Kama hujui vitu huwe unasoma tu post za wenzako kuliko kujizalilisha kwa kuandika vitu ambavyo havipo kabisa. Aliekwambia wizara ya ardhi inagawa viwanja nani? Aliekwambia surveyors wanagawa viwanja nani? Huwa unauliza hata kwa wenzako wenye viwanja mchakato wa kuvipata walifanyaje mkuu hiyo itakusaidia kuelewa mambo. Halmashauri ndio wenye ardhi, wao ndio wanajukumu la kukaa katika kamati ya ugawaji wa ardhi ambayo Mwenyekiti wake ni mkurugenzi wa halmashauri na vilevile inakuwa na wajumbe kama afisa ardhi wa halmashauri, mthamini wa halmashauri na wengineo ambao wanakamilisha timu yenye watu nane. Hao wote hapo ni watendaji ila watawala ndio hao madiwani wakiongozwa na huyo meya. Sasa lolote la kutokea wakuhojiwa ni hao watawala kama sisi tunavyohoji serikali kuu unapofanyika uzembe katika wizara au mashirika yetu ya umma.
Dogo unatokwa na mapovu!! mimi hakuna mtu nayemfahamu mwenye kiwanja, nielekeze wewe basi mwenye kiwanja au ndugu/rafiki yako yeyote anielekeze. unataka kumaanisha kuwa hao madiwani wa Chadema ndo wagawaji wa hivyo viwanja na wakati wanapitisha hayo maamuzi ya kujigawia viwanja madiwani wa Magamba hawakuwepo kwenye hiyo kamati?
 
Wanabodi,

Wakazi wa Jiji la Mwanza wanalalamika ugawaji wa ardhi unaofanywa na Halmashauri ya Jiji la Mwanza watendaji wa Halamashauri wakishirikiana na madiwani wa Chadema ambao ndio wengi kwenye baraza la madiwani.

Wananchi wa Mwanza wanalalamikia ubadhilifu wanaofanywa na madiwani wa Chadema kujigawia viwanja maeneo ya Kiseke, Nyegezi, Bugarika, na sehemu tofauti tofauti katika Jiji la Mwanza.

Wananchi wa Mwanza walipeleka malalamiko yao kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipofanya ziara katika Jiji la Mwanza, Waziri Mkuu aliwambia wakazi wa Mwanza malalamiko yao wanatakiwa wayapeleke kwa chama cha Chadema, ambacho kina dhamana ya kuendesha Halmashauri hiyo, ambao Chadema wana nafasi ya Meya hadi madiwani

Wananchi wa Mwanza wanalalamika unafanyiwa utapeli na Halamashauri ya Jiji la Mwanza viwanja hawapewi pamoja na kuwa wameishavilipia pesa lakini viwanja hivyo vipo mikononi mwa madiwani wa Chadema.

Waziri mkuu ameshindwa kuchukua hatua juu ya 'Ubadhilifu mkubwa wa Viwanja' !!?? Kweli ?? Waziri mkuu huyu huyu aliyesema "Liwalo na Liwe" ?? au waziri mkuu mwingine ??
Nionavyo mimi, waziri mkuu Pinda, (kwa hasira alizopata baada ya kuzomewa) lazima angesema "...Serikali itachukua hatua, Liwalo na Liwe..."
 
Wanabodi,Wakazi wa Jiji la Mwanza wanalalamika ugawaji wa ardhi unaofanywa na Halmashauri ya Jiji la Mwanza watendaji wa Halamashauri wakishirikiana na madiwani wa Chadema ambao ndio wengi kwenye baraza la madiwani.Wananchi wa Mwanza wanalalamikia ubadhilifu wanaofanywa na madiwani wa Chadema kujigawia viwanja maeneo ya Kiseke, Nyegezi, Bugarika, na sehemu tofauti tofauti katika Jiji la Mwanza.Wananchi wa Mwanza walipeleka malalamiko yao kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipofanya ziara katika Jiji la Mwanza, Waziri Mkuu aliwambia wakazi wa Mwanza malalamiko yao wanatakiwa wayapeleke kwa chama cha Chadema, ambacho kina dhamana ya kuendesha Halmashauri hiyo, ambao Chadema wana nafasi ya Meya hadi madiwaniWananchi wa Mwanza wanalalamika unafanyiwa utapeli na Halamashauri ya Jiji la Mwanza viwanja hawapewi pamoja na kuwa wameishavilipia pesa lakini viwanja hivyo vipo mikononi mwa madiwani wa Chadema.
Mnao ambiwa cha kuandika na MATATA (Diwani wa zamani wa Kitangili) mnafahamika kwa yale mnayoandika - POLE SANA. Ulichorishwa na ukaandika ni uzoefu wa uongozi na wanasiasa wa CCM, ambapo ukitaka kujaribu hilo kwa CHADEMA tu, lazima utimuliwe kama huyo anayekuambia cha kuandika yalivyomkuta.
 
Wanabodi,Wakazi wa Jiji la Mwanza wanalalamika ugawaji wa ardhi unaofanywa na Halmashauri ya Jiji la Mwanza watendaji wa Halamashauri wakishirikiana na madiwani wa Chadema ambao ndio wengi kwenye baraza la madiwani.Wananchi wa Mwanza wanalalamikia ubadhilifu wanaofanywa na madiwani wa Chadema kujigawia viwanja maeneo ya Kiseke, Nyegezi, Bugarika, na sehemu tofauti tofauti katika Jiji la Mwanza.Wananchi wa Mwanza walipeleka malalamiko yao kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipofanya ziara katika Jiji la Mwanza, Waziri Mkuu aliwambia wakazi wa Mwanza malalamiko yao wanatakiwa wayapeleke kwa chama cha Chadema, ambacho kina dhamana ya kuendesha Halmashauri hiyo, ambao Chadema wana nafasi ya Meya hadi madiwaniWananchi wa Mwanza wanalalamika unafanyiwa utapeli na Halamashauri ya Jiji la Mwanza viwanja hawapewi pamoja na kuwa wameishavilipia pesa lakini viwanja hivyo vipo mikononi mwa madiwani wa Chadema.

Mnao ambiwa cha kuandika na MATATA (Diwani wa zamani wa Kitangili) mnafahamika kwa yale mnayoandika - POLE SANA. Ulichorishwa na ukaandika ni uzoefu wa uongozi na wanasiasa wa CCM, ambapo ukitaka kujaribu hilo kwa CHADEMA tu, lazima utimuliwe kama huyo anayekuambia cha kuandika yalivyomkuta.
 
Wanabodi,

Wakazi wa Jiji la Mwanza wanalalamika ugawaji wa ardhi unaofanywa na Halmashauri ya Jiji la Mwanza watendaji wa Halamashauri wakishirikiana na madiwani wa Chadema ambao ndio wengi kwenye baraza la madiwani.

Wananchi wa Mwanza wanalalamikia ubadhilifu wanaofanywa na madiwani wa Chadema kujigawia viwanja maeneo ya Kiseke, Nyegezi, Bugarika, na sehemu tofauti tofauti katika Jiji la Mwanza.

Wananchi wa Mwanza walipeleka malalamiko yao kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipofanya ziara katika Jiji la Mwanza, Waziri Mkuu aliwambia wakazi wa Mwanza malalamiko yao wanatakiwa wayapeleke kwa chama cha Chadema, ambacho kina dhamana ya kuendesha Halmashauri hiyo, ambao Chadema wana nafasi ya Meya hadi madiwani

Wananchi wa Mwanza wanalalamika unafanyiwa utapeli na Halamashauri ya Jiji la Mwanza viwanja hawapewi pamoja na kuwa wameishavilipia pesa lakini viwanja hivyo vipo mikononi mwa madiwani wa Chadema.

Viongozi wangapi wa chama tawala wamejigawia ardhi wao kwa wao na kuwauzia wazungu/wawekezaji maeneo ya wanachi bila ridhaa ya wananchi au maeneo mangapi yenye madini kama tanzanite,dhahabu nk leo hii yako mikononi mwa wageni kwa ridhaa ya viongozi wa chama tawala? tumefika hapa tulipo kwa sababu ya uongozi wa chama tawala.Nchi ina maliasili nyingi,madini,water bodies etc but why are we still poor? madini yanayosombwa na kupelekwa nje ya nchi kila kukicha wakati serikali inaangalia tu bila kufanya chochote sembuse madiwani wa chadema Mwanza? acha na wao wajipatie maeneo yao hata wewe ukitaka nenda kajipatie na wewe eneo lako pia coz hii nchi imeshauzwa.
 
Umesahau Ubadhilifu mkubwa uliyofanywa na CCM kupitia waziri wake wa Makazi na Aridhi Chiligati ambaye pia alikuwa katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kwa kuwapatia Hati viwanja vyote vya sabasaba ambavyo vilikuwa vinamilikiwa na CCM kwa seccula ya Kawawa akiwa waziri mkuu! Time yaja viwanja vyote Maji maji songea,CCM kirumba,Tabora,Arusha,Morogoro,u name it vyote ni mali ya umma na siyo CCM.:flypig:
 
Ritz, kati ya watu ambao wanatumia muda mwingi kuiponda CDM na kutetea mfumo mbaya wa kiutawala ulioasisiwa na CCM, hakika unaongoza. Mara nyingi najuliza unafaidikahe na mfumo huu? ndugu zako je wanafaidikaje?

Najua fika kuwa unafahamu kwamba baraza la madiwani linaweza kuidhinisha ugawaji wa viwanja lakini kazi ya kupima na kugawa hivyo viwanja ni ya wataalam, ni ya mkurugenzi aliyewekwa na CCM. Wataalam hawa wanatakiwa watoe mrejesho wa utekelezaji wa viwanja hivyo kwa baraza na hujatuambia kama mrejesho tayari umefanyika

Ritz, jaribu kuipenda nchi yako, jaribu kuwapenda ndugu zako, jaribu kuwapenda watanzania pamoja na umasikini walionao.

Mkuu Makyomwango,
Hakuna sehemu ambayo nimeiponda Chadema nichoelezea ni ukweli mtupu mkuu labda wewe Chadema imekupa upofu hutaki kabisa kuona Chadema wanakosolewa, unachotaka nikusikia Chadema wanasifiwa kila kona, mkuu wangu hata mitume wa Mungu walikuwa wakienda kinyume wanakosolewa sembuse Chadema.
 
Last edited by a moderator:
Ded hana mamlaka juu ya madiwani ukizingatia madiwani wa chadema walimtishia maisha ili wao wapate viwanja vingi hakuwa na jinsi zaidi ya kuwaamuru maafisa ardhi kuwapa tena hawajalipia hata senti aibu kwa wanaojifanya wapinga ufisadi

That does not make any sense. If s/he was threatened, why didn't s/he report to authority? What does the law say in regards to this matter?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom