Well done kijana..Hebu jiulizeni na kuchambua hili, CDM wanaongeza vijana na wasomi kwenye system yao, magamba wanaongeza nini? Vyuo vikuu karibu vyote wako CDM kwa in take zinazo toka na kuingia, je huko mbeleni magamba watakuwa na nini? sababu mtaji wao ni wazee na wanawake wa vijijini. Angalieni mtu yeyote aliyevaa T-shirt na kofia ya magamba jinsi anavyo tembea, kuongea, kula n.k yaani utagundua kuna kitu anapungukiwa katika uwezo wake wa kufikiri. Hauwezi kuwa na akili timamu ukashabikia sisiemu(magamba). Ndio maana humu jamvini kuna mtu aliandika post moja kuwa inahitaji akili ya maiti kuwa sisiemu.