Kuna tofauti kati ya akili au degree za mchongo, ukinganisha na kipawa cha akili kutoka kwa Mungu kupitia vinasaba kutoka kwa wazazi hasa mama. Kwahiyo mtu mwenye kipawa cha akili lazima ataonekana wa tofauti iwe kijijini, kanisani au ofisini
Nawasalimu ndugu zangu wa Jamii forum popote mlipo, ama baada ya salamu naomba mnisaidie binti yangu aliyehitimu degree ya Human Nutritions pale SUA apate connection ya ajira au kujiajiri.
Tulifundishwa kanisani kwetu kuhusu mada hii; Mwl alisema, kila mwanadamu anaye malaika mlinzi ambaye humlinda muda wote katika hatari za roho na kimwili. Tukaambiwa pia kuwa usiku wa manane ni muda ambapo wachawi, wawanga na roho chafu huutumia kuwatesa wanadamu. Kwahiyo ukistuka muda huo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.