Wana Jf naomba wale wenye kujua nafasi za kujiunga na jeshi la polisi chuo cha CCP-moshi zinatoka lini na huwa taarifa zinatolewaga kwa njia zipi? nimejaribu kufungua website ya polisi tz sijafanikiwa kupata taarifa hizo wakuu.<br />Natanguliza shukrani zangu
Wana JF,
Naomba wale wenye kujua nafasi za kujiunga na jeshi la polisi chuo cha CCP- Moshi zinatoka lini na huwa taarifa zinatolewaga kwa njia zipi?Nimejaribu kufungua website ya polisi TZ sijafanikiwa kupata taarifa hizo wakuu.
Natanguliza shukrani zangu
Nakubaliana na wewe ndugu balimar kwamba elimu ni ghali lkn hatuna budi kufanya kufanya ili hivo ili ubora wa elimu yetu uonekane, japo hiyo ni aspect moja tu ya kuboresha elimu, ninaamini hata mazingira mengine yakirekebishwa kwa viwango vizr na hili likaachwa bado tatizo la ubora litakuwepo...
Kuna mfano nimetoa wa kuhusu sekta ya afya wadau wa elimu waliangalie kwa nini lisiwe kwenye elimu?
Kwny afya Daktari angeweza kufanya kazi za nurse na wataalam wa maabara, lakini ilitenganishwa simply kwa sababu daktar angekuwa frastrated na ubora wa kazi ungekuwa hafifu sana kama inavyotokea...
Sawa mkuu, sera ya elimu ni nzuri sana ila inahitaji umakini mkubwa sana kuingiza katika utekelezaji, mengine yanahitaji utafiti mkubwa na muda muafuaka katika hatua stahiki kufikia kiu ya sera yenyewe!
Mfano lugha ya kufundishia na kujifunzia bado ina utata mkubwa, sehemu ambayo ni muhimu sana...
Mi binafsi nakubaliana na hoja ya kutumia lugha yetu ya kiswahili katka level zote kujifunzia na kufundishia, lkn sera lazima itoe hatua za mda mfupi (10- 15yrs) na za mda mrefu(20 na kuendelea) kwa sababu swala hili ni kubwa na la muhimu, ambalo linajumuisha gharama kubwa sana na utafiti wa...
Sera ya elimu pamoja na mambo mengine ya kuendesha tasnia nzima ya elimu, leo mimi najikita zaidi katika kuangazia nguvu kazi, na hususani waalimu.
Nimejaribu kumwangalia huyu mtu anaeitwa mwalimu nimegundua kuwa ana mzigo mkubwa sana katika shughuli zake za kila siku.
Kabla sijatoa hoja...
Hii hoja ya mzee mwanakijiji kwa kweli ni ya muhimu sana ukiangalia kwa jicho pevu,
itasaidia sana kufanya siasa safi na watu kupractice maana halisi ya ubunge(uwakilishi) pia kuondoa makando kando yaliopo sa hivi kwa hawa wawakilishi wetu.
Daaa kwa kweli hii kukata kata kwa matangazo ya itv kama kuna watu wanahujumu watakuwa wanakosea sana! Siasa za namna hii itatupeleka pabaya!
Timu ya mafundi qa itv watafutwe wajibu hili kwa sababu wanawakosesha wananchi haki yao ya msingi kabisa kupata habari ipasavyo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.