Kuhusu kujiunga na jeshi la polisi 2016

kimone

Member
Apr 2, 2015
45
12
Wana JF,

Naomba wale wenye kujua nafasi za kujiunga na jeshi la polisi chuo cha CCP- Moshi zinatoka lini na huwa taarifa zinatolewaga kwa njia zipi?Nimejaribu kufungua website ya polisi TZ sijafanikiwa kupata taarifa hizo wakuu.

Natanguliza shukrani zangu
 
wana jm samahan nauliza kama nafasi za kujiunga na ccp moshi kama zimeshatoka kwa mwaka huu 2016
 
Jaribu kufuatilia vuzuri lakini nijuavyo mimi majeshi yote kwa sasa kazi zinatangazwa na kuchukua vijana JKT.
Mfano wale walio graduate JKT mwanzoni mwa mwaka huu wanakusanywa kwenye makambi wanaita Malezi.Hapo ndipo kila jeshi huja kufanya usahili nakuchukua watu kwa vigezo wanavyohitaji na kwenda course.
Mfano Magereza,JWTZ,Uhamiani,Polisi,Jeshi la zimamoto etc.
Zaidi ya hapo fuatilia vizur
 
www.policeforce.go.tz

Bado kulikuwa na kauli bungeni watasitisha kwa muda kidogo wizara ya mambo ndani kufanya marekebisho katika mfumo wa kuajiri

Wao wanajua itachukua muda gani hadi kuitwa watu
 
Uk
Jaribu kufuatilia vuzuri lakini nijuavyo mimi majeshi yote kwa sasa kazi zinatangazwa na kuchukua vijana JKT.
Mfano wale walio graduate JKT mwanzoni mwa mwaka huu wanakusanywa kwenye makambi wanaita Malezi.Hapo ndipo kila jeshi huja kufanya usahili nakuchukua watu kwa vigezo wanavyohitaji na kwenda course.
Mfano Magereza,JWTZ,Uhamiani,Polisi,Jeshi la zimamoto etc.
Zaidi ya hapo fuatilia vizur
uko sahihi kaka ungekua karibu ningenunulia castle baridi
 
Jaribu kufuatilia vuzuri lakini nijuavyo mimi majeshi yote kwa sasa kazi zinatangazwa na kuchukua vijana JKT.
Mfano wale walio graduate JKT mwanzoni mwa mwaka huu wanakusanywa kwenye makambi wanaita Malezi.Hapo ndipo kila jeshi huja kufanya usahili nakuchukua watu kwa vigezo wanavyohitaji na kwenda course.
Mfano Magereza,JWTZ,Uhamiani,Polisi,Jeshi la zimamoto etc.
Zaidi ya hapo fuatilia vizur
Polisi wanachukua hata mitaani tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom