Recent content by Kimilidzo

  1. Kimilidzo

    Morogoro: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi, vurugu zaibuka!

    RIP Alli Zona,,, mauaji bado yanaendelea huku licha ya uongozi kubadilika. Mungu tusaidie
  2. Kimilidzo

    Happy birthday Le-mutuz

    HBD,,, Huyu babu kapunguza mvua tatu wallah
  3. Kimilidzo

    Paul Makonda aagiza kusitishwa utolewaji zabuni kwa kampuni 4 za ujenzi

    Hivi NMB walimrudishia hela za mishahara hewa? Mkuu wa mkoa anafanya kazi hadi za uhandisi, kweli awamu ya tano ina mambo
  4. Kimilidzo

    CAG: Kama tunataka kuongeza kodi tuachane na malipo kwa pesa taslimu, tutumie kadi

    Ni wazo lililoenda shule sana, ila shida inabaki kuwa utatumiaje kadi wakati watu asilimia 90 hawana akaunti benki na pia nchi haina hata vitambulisho vya utaifa? Safari bado ni ndefu
  5. Kimilidzo

    Siri ya "Taarifa za kiintelejensia" itumiwayo na Polisi kuzuia shughuli za kisiasa yafichuliwa

    Halafu Magufuli aondoe hii dhana kuwa yeye ndio atatuletea maendeleo. Kila mtu atajiletea maendeleo yake, yeye aweke mazingira tu na kuimarisha demokrasia
  6. Kimilidzo

    Serikali yasaini hati ya makubaliano ya bilioni 440 na Benki ya Dunia kusaidia mradi wa TASAF

    Wazee masikini wataendelea kupata hela ya kunywea pombe za kienyeji vijijini. Safi sana elfu 20 kila kaya
  7. Kimilidzo

    Rais Magufuli ampongeza Jecha kwa usimamizi mzuri wa Uchaguzi Zanzibar

    Afrika hakuna demokrasia chaguzi ni danganya toto
  8. Kimilidzo

    Waziri mkuu: Tutabadilisha sera na sheria ya sasa ya kuwaenzi waasisi na viongozi wakubwa mafisadi

    Katiba ya Warioba ndio kila kitu waziri mkuu wangu Majaliwa. Hivi kumbe mafisadi walioundiwa mahakama ni watumishi peke yao na sio wale wa Meremeta na Escrow
  9. Kimilidzo

    Sherehe za saba saba zihairishwe; Pesa ipelekwe kwenye Madawati

    Basi kusiwe na sherehe kabisa hapa nchini. Madawati yanatakiwa kuwa mpango endelevu kwenye bajeti
  10. Kimilidzo

    Naibu Waziri wa Kazi na Ajira afuta kibali cha kazi kwa raia wa kigeni

    Huyu kijana Anthony Mavute ana future kubwa sana kwenye siasa za nchi hii. Magufuli amelamba dume hapo sio wale wananii wa bongo fleva akina Februarry Marope na Miguu Chema na yule mpiga ngoma Uuye. Mavumbe yuko vizuri sana ni mtu wa kazi kwanza maneno na media baadaye
  11. Kimilidzo

    NEMC Mwanza kuna Malaika Beach

    Hawa NEMC nao watupishe huko, lazima waruhusu mabadiliko yanayoendana na wakati. Kule Pemba tumeambiwa kuna hotel vyumba viko ndani kabisa ya bahari unawaona Nyagumi wanavyopita ukiwa umelala. Wao wanatakiwa kushugulika na maeneo hatarishi na yale yenye hifadhi ya mikoko. Sasa pale Malaika ni...
  12. Kimilidzo

    NEMC Mwanza kuna Malaika Beach

    Hiyo ikiguswa tu kikao cha kamati kuu kitaitishwa na bomoa bomoa itazuiwa nchi nzima. Nilikula sana bata pale mahala wasibomoe watoe kibali cha utalii
  13. Kimilidzo

    Naibu Waziri Tamisemi amsimamisha kazi Mkurugenzi Manispaa ya Ilemela

    Yule alikamatwa na rushwa alikuwa Mbunge wa BAHI Dodoma nadhani na sasa amerudi tena. Huyu waziri ni mbunge wa Kisarawe kama sikosei ndio aliyemdondosha kipenzi cha wengi Bw Kingwendu Ngwendulile
  14. Kimilidzo

    Ndugu Valentino Mlowola, DG PCCB tafadhali anza na hili, kwa haraka!

    Weka picha yake tuone kama anafaa kwa chakula wakati huu boss wake hana mshahara. Tupia picha mraaaa
  15. Kimilidzo

    Moshi wa bangi ukeni

    Kama kuna mdada anatumia hiyo kitu na anakaribisha maombi mapya ani PM tufanye biashara. Huwezi jua naweza kukutana na kitu cha K NIBANGUE niwe naitamani kila dakika
Back
Top Bottom