Morogoro: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi, vurugu zaibuka!

Nipo maeneo ya katikati ya mji, watu wanaongea kuhusu tukio la jana Morogoro, yani wanakilaani sana hiki chama. Jana nlikuwa kwa wifi yangu kata ya KIMANDOLU, hamna tena dalili za CHADEMA kule. Ofisi ya kata yenyewe imeshindwa kulipia kodi vyumba viwili mpaka wamepokonywa chumba kimoja wamebaki na kimoja tu maskini. Nawaonea huruma sana.
 
Hawa POLICE ni ma mende, nani kawambia wanatoa vibali vya maandamano. wao kazi yao ni kulinda
 
..big up makamanda wetu wa serikali mnafanya kazi mliyoisomea kwa watu wenye kiburi na kupayuka kila wakati utafikiri anapokuwa anaongea hasikiki,tena mmeua wachache,chadomo fateni sheria za nchi
 
sasa rejao nakushauri uvue gamba kwani akili zote za magamba hazina akili
aliouawa hakuwa katika maandamano kwanini hawajauwa waliokuwa ktk maandamano?
kijana aliejeruhiwa mguuni nae alikuwa mpita njia na baiskeli yake.
kuna haja wa kusafisha jeshi la polisi na pia kuwasafisha magamba wote.
2013 haitaisha bila kusikia makubwa ikiwemo viongozi wakubwa kuachia madaraka wao wenyewe na kukimbia nchi,tetesi zipo sana 2013 mtashangaa wenyewe, wala sio kwa vita bali kukataliwa na wananchi wenyewe.

Sijafurahia mauti iliyomkuta huyo kijana. Nina machungu na waliosababishia huyo kijana kupatwa na mauti. Waliosababisha si wengine bali ni hao viongoz wa CDM waliokataa kutii amri. Ndio maana nimesema, bora wangepigwa risasi wao kuliko huyo kija ambaye hakuwa na hatia!
 
kwa kweli ianasikitisha sana hasa katika nchi ambayo inaaminika ni kisiwa cha amani lakini watu wamekuwa wakiuawa bila ya kuwa na hatia yoyote wakiwa hawana silaha bali wakiwa na matumaini ya kuona viongozi ambao watawafikisha katika ile nchi ambayo wanaiwaza kichwani mwao na pia ambayo wanaiota ndotoni.. nchi ambayo itakuwa na usawa katika mgawanyo wa pato la Taifa ,nchi ambayo itakuwa na huduma za kijami ambazo zina ubora na sio bora huduma,nchi ambayo itajali maslahi ya wote bila kuchagua itkadi za kidini na rangi
Lakini dhuruma,chuki na uongo haviwezi kuushinda ukweli na Watanzania wanaamini wataupata uhuru kamili kutoka kwa mkoloni wa kizalendo muda si mrefu M4C itaendelea kuwahutubia na kuuambia ukweli umma na muda si mrefu pale Magogoni wataingia watu wenye uchungu na wananchi wenzao na watakaowajali katika hali yoyote ile iwayo
eeh! Mungu tujaalie tuone ushindi mzito utakao tupatia Watanzania wote 2015
 
Hakuna mantiki hapa,yani wapigwe mabomu na serikai ya mafisadi halafu waichukie chadema,unaishi wapi wewe?inaonekana hapo ulipo hata nje hujui kunaonekana vipi.Unasound kama "kuku wa kisasa" kwenye banda.Pole sana,subiri siku ya "kuchinjwa" watu wale nyama.

hukunielewa ndugu, nilimaanisha wapiga kura ni wanawake so let us be cool nisubiri kuchinjwa na nani tena, penye ukweli tuuseme!
 
Sijawahi ona dini nyingine wakiuliwa kwenye haya maandamano zaidi ya waislamu

Badilika kifikra,watanzania wa leo wanaona mbali zaidi ya hapo unapofikiria wewe,Mungu ni wa wote bila kujali dini. Wananchi wanahitaji mabadiliko katika katika maisha yao na siyo propaganda kama unazojaribu kueneza,
 
Sijafurahia mauti iliyomkuta huyo kijana. Nina machungu na waliosababishia huyo kijana kupatwa na mauti. Waliosababisha si wengine bali ni hao viongoz wa CDM waliokataa kutii amri. Ndio maana nimesema, bora wangepigwa risasi wao kuliko huyo kija ambaye hakuwa na hatia!

kama viongozi wa Chadema walikataa kutii amri kwa nini hawakutafutwa wao na kukamatwa.!? damu iliyomwagika ikianza kudai sijui CCM watajificha wapi???
Tumia uelewa wako vizuri...haiwezekani unatawanya watu kwa kutumia risasi za moto... TIME TELLS AND DAYS ARE NUMBERED... kama CCM haitajibiwa na wananchi 2015 mungu ndiye atakaye jibu kilio chetu.
 
Nipo maeneo ya katikati ya mji, watu wanaongea kuhusu tukio la jana Morogoro, yani wanakilaani sana hiki chama. Jana nlikuwa kwa wifi yangu kata ya KIMANDOLU, hamna tena dalili za CHADEMA kule. Ofisi ya kata yenyewe imeshindwa kulipia kodi vyumba viwili mpaka wamepokonywa chumba kimoja wamebaki na kimoja tu maskini. Nawaonea huruma sana.

ionee huruma Nchi yako... Kuendelea kuikumbatia ccm ni ujinga...
 
..big up makamanda wetu wa serikali mnafanya kazi mliyoisomea kwa watu wenye kiburi na kupayuka kila wakati utafikiri anapokuwa anaongea hasikiki,tena mmeua wachache,chadomo fateni sheria za nchi

Pole sana..
 
RIP Alli Zona,,, mauaji bado yanaendelea huku licha ya uongozi kubadilika. Mungu tusaidie
 
Back
Top Bottom