Rais Magufuli ampongeza Jecha kwa usimamizi mzuri wa Uchaguzi Zanzibar

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,377
8,075
Rais Magufuli leo amempongeza Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Jecha Salum Jecha kwa kusimamia vizuri Uchaguzi ulioisha kwa amani.

Kwa kufanikisha Uchaguzi wa Zanzibar, unamkubali Jecha kwa asilimia ngapi?
 
Siyo hasira lakini !! Ukweli ni kuwa chaguzi hizi hazina maana.
 
Rais Magufuli leo amempongeza Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Jecha Salum Jecha kwa kusimamia vizuri Uchaguzi ulioisha kwa amani.

Kwa kufanikisha Uchaguzi wa Zanzibar, unamkubali Jecha kwa asilimia ngapi?
90%. Kama angemfunga Sharf Hamad kwa kuingilia ZEC ningempa 100%. Mzee makini sana huyu
 
Rais Magufuli leo amempongeza Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Jecha Salum Jecha kwa kusimamia vizuri Uchaguzi ulioisha kwa amani.

Kwa kufanikisha Uchaguzi wa Zanzibar, unamkubali Jecha kwa asilimia ngapi?
90%. Kama angemfunga Shariff Hamad kwa kuingilia ZEC ningempa 100%
 
Inafika mahala najiuliza kama kweli watawala wetu wanatumia intelijensia kubaini ni wangapi wanawaunga mkono kwenye utawala wao au watu ni waoga tu kwa kuogopa intelijensia ya mkong'oto wa wana intelijensia!
 
Back
Top Bottom