chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema bunge lipo na mchakato wa kubadilisha sheria, sera na kanuni ili kuendana na mabadiliko ya wakati sasa ambayo viongozi wakubwa wa nchi wamekuwa wakiiba na kujilimbikizia mali.
Ameongezea pia wameunda taasisi ya maadili ya utumishi ambayo inahakikisha kila mtumishi anatangaza mali zake na kuefuatilia ongezeko za mali hizo kama zinaendana na kipato cha mtumishi huyo.
Amesema siku chache zijazo bunge litapitisha muswada wa kuanzisha divisheni ya mahakama ya mafisadi ili kuweza kupambana na watuishi mafisadi