NEMC Mwanza kuna Malaika Beach

NEMC Mwanza kuna Malaika Beach

Mleta habari acha uongo wewe. Hii malaika ya mwanza naifahamu na nimefika pale. Unajua cm 30 kweli wewe? ni rula moja tu. ziwa lina mawimbi pia kwa hiyo ungesema tu malaika imejengwa ndani ya ziwa, Ukweli ni kwamba Hoteli yenyewe iko zaidi ya meta 20 kutoka ziwani. hayo maji yanayoonenekana kwenya picha yako ni madoido tu. Kuna mkondo wa maji unesanifiwa kiufundi na maji yanapita (yanatiririka) chini ya majengo. inapendeza sana

Mahaba niue....
 
Sio kweli,malaika hujaenda wewe tu(ila hiyo cm 30 ni exaggeration tu) sasa 20m kutoka ziwani ni halali?
 
Mkivunja Malaika na wao watavunja ile barabara ya lami inayozunguka kilima cha Ilemela Tunza hadi Airport
Mtajenga yenu...?
Pumbavu ile imejengwa na serikali sio kwa hisani ya mtu
 
Mleta habari acha uongo wewe. Hii malaika ya mwanza naifahamu na nimefika pale. Unajua cm 30 kweli wewe? ni rula moja tu. ziwa lina mawimbi pia kwa hiyo ungesema tu malaika imejengwa ndani ya ziwa, Ukweli ni kwamba Hoteli yenyewe iko zaidi ya meta 20 kutoka ziwani. hayo maji yanayoonenekana kwenya picha yako ni madoido tu. Kuna mkondo wa maji unesanifiwa kiufundi na maji yanapita (yanatiririka) chini ya majengo. inapendeza sana
Sheria inasema mita 60 kutoka baharini au kwenye chanzo cha maji, mtoa mada alimaanisha mita 30 nadhani
 
Pia kuna Jembe ni Jembe na jirani yake kule Nyegezi. Hizi zote zimejengwa ziwani maana hata stage iko juu ya maji. Kama ni kweli zoezi limedhamiria kuondosha uovu, basi na hotel hizi zipigwe kijiko.
Jirani yake panaitwa charcoal ribs, huyo mmiliki wake maji ya pale yalishamshinda, maji hua yanajaa pale mpk sehemu ya kusimama hakuna tena
 
Nemc njooni huku kapli point kuna hotel inaitwa Trapia hii ni shida iko majini.
 
huu sasa uchokozi sasa!
japo ni kweli tena kweli kweli/
NEMC INAYO MENO AU NI JIBWA KOKO LINALOONEA WANYONGE??
VUNJENI SASA HAPO!!!
PA MUSEE MWENYEWE NA KIJANA WAKE!
ii
 
Pumbavu ile barabara imejengwa mahsusi kwa ajili ya hiyo hotel hutaki unaacha otherwise utuambie ni nani aliyeidhinisha ujenzi wa hiyo barabara na kuacha barabara nyingine zenye umuhimu mkubwa kuliko hiyo pumba kabisa wewe
 
Nemc njooni huku kapli point kuna hotel inaitwa Trapia hii ni shida iko majini.
Hahaha wakimaliza tilapia watahamia hotel ya Ryans Bay, mmiliki wake ambae ni fotes ingawa wajuvi wanasema mzee na yule bwn mdogo wana wanahusika na shoo,mtawaua kwa pressure
 
...Nadhani serekali ilibomoe jengo la tanesco ubungo ili ijitie kasi na gharabu + hasira.
 
Kamanga ferry,busisi ferry na parking za meli za ukerewe zibomolewe zote.
 
Tunakopesha pale clinic,msd mirongo,kilimahewa big bite,rahema bar,shule ya nyamanoro na viunga vyake wote wapo mtoni.papa likuvi mulika manispaa ya mawanza.
 
Hiyo ikiguswa tu kikao cha kamati kuu kitaitishwa na bomoa bomoa itazuiwa nchi nzima. Nilikula sana bata pale mahala wasibomoe watoe kibali cha utalii
 
Pia kuna Jembe ni Jembe na jirani yake kule Nyegezi. Hizi zote zimejengwa ziwani maana hata stage iko juu ya maji. Kama ni kweli zoezi limedhamiria kuondosha uovu, basi na hotel hizi zipigwe kijiko.

Hawa NEMC nao watupishe huko, lazima waruhusu mabadiliko yanayoendana na wakati. Kule Pemba tumeambiwa kuna hotel vyumba viko ndani kabisa ya bahari unawaona Nyagumi wanavyopita ukiwa umelala. Wao wanatakiwa kushugulika na maeneo hatarishi na yale yenye hifadhi ya mikoko. Sasa pale Malaika ni mawe matupu, ubomoe hotel ya kitalii kwa sababu ya mawe wakati Mwanza kila kona Mawe. Ukienda Jembe ni Jembe nako vile vile hakuna mkondo wa maji umezuiliwa pale wala mchanga wa thamani. Karne ya 21 wanafuata sheria za mwaka 47. Huu ni upuuzi na wakibomoa Mungu ailaani serikali yote ya JPM
 
Mna utani na nyoka mwenye makengeza nyinyi,,
 
Back
Top Bottom